Nilichojifunza toka BMK

Nilichojifunza toka BMK

mapishimigu

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Wapinzani (Ukawa) unganisheni nguvu zenu kuhakikisha uchaguzi wa 2015 mnashinda nafasi ya urais ili rasimu ya warioba irudi katika mjadala ..vingnevyo kilichopatikana leo kule bungeni kwa akina 6 ni haramu na wanaonesha hawana mapenzi mema na sisi raia wa hali ya chini..
 
Kushinda wapinzani kuna kazi, hata wakipigiwa kura za ndiyo, zitageuka hapana. Chezea ccm wewe??
 
Wapinzani (Ukawa) unganisheni nguvu zenu kuhakikisha uchaguzi wa 2015 mnashinda nafasi ya urais ili rasimu ya warioba irudi katika mjadala ..vingnevyo kilichopatikana leo kule bungeni kwa akina 6 ni haramu na wanaonesha hawana mapenzi mema na sisi raia wa hali ya chini..
Upinzani Tanzania ni Minority wakiungana wasiungana there no difference! Furthermore CCM walikuwa na Mkapa, akaja Kikwete and next ...atakuwa mtu mwingine... Upinzani alikuwepo Lipumba, akawa Lipumba, then Lipumba, alikuwepo Maalimu then Seifu then Maalimu then Maalimu... Alikuwepo Mbowe, then Mbowe alafu atakuja Mbowe... And yet u believd there is changes coming....
 
Wapinzani (Ukawa) unganisheni nguvu zenu kuhakikisha uchaguzi wa 2015 mnashinda nafasi ya urais ili rasimu ya warioba irudi katika mjadala ..vingnevyo kilichopatikana leo kule bungeni kwa akina 6 ni haramu na wanaonesha hawana mapenzi mema na sisi raia wa hali ya chini..

Nilichojifunza ni kuwa CCM Haitatoka madarakani kwa kura ya karatasi.Kamwe haitawezekana hata muunganishe vyama vyote labda iundwe tume huru ya UCHAGUZI
 
Back
Top Bottom