Nilichojifunza Leo Kanisani

Kuna rafiki yangu anamaliza mwaka tangu apate uhamisho wa kikazi serikalini,kaipa hi sana hii post. Hajalipwa chochote hadi leo,amekopa hadi chumvi . Leo kapata faraja alipopata hii msg ya mtumishi wa Mungu.
Uyo rafiki Yako Ni Wakike Au Wakiume

Na Habari Njema nataka kumwambia[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Napingana na Kauli Yako 100%

Binafsi Nipo Tofaut Sana Na Shunie

May B wee Ndio Umefanana na Shunie
Wote tunahitaji kula ili tuishi,mavazi na nyumba ili tujihifadhi utu wetu na utambuzi wa utu wetu kama binadamu na sio wanyama au vinginevyo. Kwa hapo tunatofautianaje ndugu yangu? Tambua nyumba ghorofa na msumbiji lengo ni moja,kujihifadhi!!!
 
Massage sent and derived!!
 
Kwa hali hii hakuna mchungaji atakaetoa laki 1 kiboyaboya hivo

Hii ni stori tu ,
 
Ungemuandikia namba kwenye kikaratasi afu unajidai unamsalimia kwa kumpa mkono then unamkabidhi,
simple like that..
Sasa ivi ungekuwa unasubiri mrembo akupigie tu
Ya kishamba sana asee duh....
Kama mimi simtafuti akifanya hivyo
 
Hii ni siri kubwa mno kama umeelewa jinsi ulimwengu wa kiroho unavyofanya kazi, ni kwa wale wanaojituma na kuacha kufanya mambo kwa mazoea tu ndio wenye kuwini mambo!!!! Mmeelewa??
 
Tatizo lenu mnapenda injili ya mafanikio tu, lakini mtu anayekuhubiria tu mafanikio bila suffering yani msalaba ,ni nabii wa uongo.
 
Ndio nilitaka kushangaa! Ninavyojua sehemu ambapo jamaa mtoa mada hupendelea kushinda ni kule chini jukwaa la wakubwa. Sidhani hata akienda kanisani anaweza elewa kinachoendelea.
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…