Nilichojifunza Leo Kanisani

Hiyo ndo teaching aid yake na amefanikiwa sana kufikisha ujumbe.
Dah....Dadeki...akitoa mafundisho kama hayo mara 3 kwa wiki...ameharibu noti zenye thamani ya zaidi ya 1.5m kwa mwaka....ambayo ni zaidi ya 15m kwa kipindi cha JPM tu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 

Mahubiri murua. Hizi philosophia ndio zinatakiwa kipindi hiki kigumu
 
tunaweza kupata hayo masomo yalikuwa yanatoka kwenye vitabu gani ndani ya bible..?

nimebarikiwa....

kwetu Parukiani na wakatoliki wote dunian, ilikuwa sikukuu ya Bwana wetu Yesu Kristo, na adhimisho la mwaka wa mwisho wa kikanisa (mwisho wa mwaka wa kikanisa wa mwaka C ) nakukaribisha mwaka mwingine wa majirio wa mwaka A...
 
Hisia zangu nikuwa hujaelewa kuanzia title ya huu uzi mpka contents, soma tena mpka uelewe...!ukishindwa kabisa nifuate inbox nikueleweshe....
hofu yangu usije kujikuta uko peke yako mchangiaji ambaye hajaelewa...

nashukuru
 
Dah....Dadeki...akitoa mafundisho kama hayo mara 3 kwa wiki...ameharibu noti zenye thamani ya zaidi ya 1.5m kwa mwaka....ambayo ni zaidi ya 15m kwa kipindi cha JPM tu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hakuchana ilaaliikunja kunja. Genuine noti hata ukiikunja inajikunjua ukiona haijikunjui ujue ni fake au ni zile wanachapisha viwanda vya kichina.
 
Somo zuri wapi wewe? Hawa wenzetu wanahubiriwa lakini mwisho wa siku wanakamuliwa sadaka.

Mkuu wakati mwingine chomoka na ujumbe na kaufanyie kazi, hayo mengine like mapungufu ya wahubiri watajua wenyewe na Mungu wao
 
Kuna rafiki yangu anamaliza mwaka tangu apate uhamisho wa kikazi serikalini,kaipa hi sana hii post. Hajalipwa chochote hadi leo,amekopa hadi chumvi . Leo kapata faraja alipopata hii msg ya mtumishi wa Mungu.
 
Soma lililofundishwa kwa mifano na zana,zuri sana na limeeleweka,regardless ya ushiriki wako jukwaa la wakubwa kwa sana 🙂
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ipo siku Ntajitoa tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…