Nilichojifunza Leo Kanisani

Bila shaka ulienda kanisani kwaajili ya kummendea muimba kwaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Afu Weee Jamaaa Mchokoz sana

Watoto Wamevaa Min Sket Atheee
 
mafundisho ya kitapeli nawe ulivyo mjinga unadhani kuna jambo jipya hapo,

hizo kanuni za maisha hata huku kitaa tunazijua siyo mpaka nyumba za ibaada alafu nikusaidie ufahamu kidogo kwenye nyumba za ibaada tunakweda kufundishwa mambo yatakayotupeleka ulimwengu ujao sio huu, fedha na mali ni vitu vya ulimwengu huu

vyote hivi tumepewa tangu kuumbwa kwa ulimwengu ni akili tu, hata wasio na imani wanayo fursa sawa na wenye imani, tofauti jinsi ya kutafuta kwa haki,

achana na hao wahubiri matapeli la sivyo utaukosa ulimwengu ujao
 
Umefanya vyema kwenda kanisani maana nasi tumejifunza kupitia wewe
 
Dhambi tatu,kusema uongo, kutoenda kanisani, kurudia Uzi jamaa hata soni huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…