Hatupendi kusikia huu ukweli lakini wengi wetu tunafanya mambo yale yale kila mara na kutegemea matokeo tofauti, hata wale tuliopo kwenye ajira.
Unapata mshahara, unaufuja wote, hauweki akiba, unaingia madeni tena kwa vitu visivyo na umuhimu, unasema utabadilika hapo ni baada ya kutumia pesa zote. Mwezi unaofuata, unafanya yaleyale huku unapiga kelele unataka kujikwamua kiuchumi. Kila kitu kina kanuni na taratibu zake.
Kwangu, kitabu cha The Richest Man in Babylon kimenisaidia sana. Nawashauri wale ambao hawajakisoma wakipitie na kuyafanyia kazi yaliyoandikwa mle.
Amepromote bidhaa gani?Promo hyo
Mkuu ume comment point nzuri sana,kama utaweza kutuwekea hicho kitabu hapa pdf itapendeza zaidi.Hatupendi kusikia huu ukweli lakini wengi wetu tunafanya mambo yale yale kila mara na kutegemea matokeo tofauti, hata wale tuliopo kwenye ajira.
Unapata mshahara, unaufuja wote, hauweki akiba, unaingia madeni tena kwa vitu visivyo na umuhimu, unasema utabadilika hapo ni baada ya kutumia pesa zote. Mwezi unaofuata, unafanya yaleyale huku unapiga kelele unataka kujikwamua kiuchumi. Kila kitu kina kanuni na taratibu zake.
Kwangu, kitabu cha The Richest Man in Babylon kimenisaidia sana. Nawashauri wale ambao hawajakisoma wakipitie na kuyafanyia kazi yaliyoandikwa mle.
Mkuu ume comment point nzuri sana,kama utaweza kutuwekea hicho kitabu hapa pdf itapendeza zaidi.
Poa mkuu thanks in advance,usisahau kuniquote Mkuu.Ntakiweka mkuu, ondoa hofu.
Poa mkuu thanks in advance,usisahau kuniquote Mkuu.
ubarikiwe nduguTayari mkuu, kisikukatishe tamaa mwanzoni kina English ya king James, kitabu kizuri sana
Thanks mkuu.Tayari mkuu, kisikukatishe tamaa mwanzoni kina English ya king James, kitabu kizuri sana