[emoji121]Nikiwa mkulima mchanga wa tikiti nimejifunza vitu vingi ambavyo naona leo si vibaya nikashare kwenu
1.Uchawi
amini usiamini uchawi upo kwenye kilimo nimeamini hivyo baaada ya wakulima wenzangu kama wanne kunihadithia jinsi walivyopata hasara kwa kudharau kulinda shamba au kutumia dawa ya kupandia
sijawahi kuroga lakini kwa sababu nimeinvest hela kubwa nlienda kwa mganga kwa mara ya kwanza ili hela yangu irudi ikibid hata na faida
Shamba
nlilipa hela ya heka nne lakini juzi amekuja bwana shamba kunitembelea akanishauri kabla sijalipia shamba nilipime na kweli tulipopima ikatoka heka 3 na robo
nlijifunza kitu kikubwa sana kuhusu umuhimu wa kupima shamba
Wafanyakazi
Kama utalimia maeneo ya pwani usiajiri wazaramo au watu wa pwani/wenyeji tafuta wasukuma waha wanyalu au watu wa mikoa ya kaskazini nimeajiri wazaramo wawili na wasukuma wawili yaani wazaramo ni wavivu kuliko maelezo kila mara wanaumwa siku ukienda bila kuwataarifu huwakuti
Mbolea ya samadi ni bora lakini ina wadudu wengi wanaoshbulia mazao au mnyauko
upande mmoja ambao nimeweka mbolea nyingi ya samadi mazao yamenyauka sana kuliko nlipo weka mbolea kiasi
wamekufanyaje[emoji121]
MKUU,
NINA OMBI,
HAPO KWENYE KUTOAJIRI WAZARAMO UKIWA KWENYE ARDHI YAO HAPO NAOMBA UBOLD KABISA HAPO MKUU,
NAKUOMBA SANA MKUU!!!
[emoji124] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469]
Wewe unapotea kabisa, hivi utapata faida gani kwa kutegemea "uchawi" kwa waganga wa kienyeji na kupoteza roho yako?? Hivi pesa na roho yako kipi chenye thamani???amini usiamini uchawi upo kwenye kilimo nimeamini hivyo baaada ya wakulima wenzangu kama wanne kunihadithia jinsi walivyopata hasara kwa kudharau kulinda shamba au kutumia dawa ya kupandia
sijawahi kuroga lakini kwa sababu nimeinvest hela kubwa nlienda kwa mganga kwa mara ya kwanza ili hela yangu irudi ikibid hata na faida
huo muda mnaosema unahitaji maji mengi mimi sitahitaji wayaweke maji mengi asubuh na jioni kama wengine wanavyofanya ukifanya hivyo una dumaza tundakuna muda yatahitaji maji yakutosha hapo kama wimbo jua umefika kwenye korasi na ndipo utakapojua kwanini limeitwa tikiti maji!.. kama kuna mvua shukuru.. kila kitu kina shida na raha zake nakushauri usikose mtaalam wa kukushauri(kumbuka kuuchakata huo ushauri) na uyafatilie hatua kwa hatua.
hakuna haja ya asubuhi na jioni,mara nyingi ni kuyapatia maji asubuhi ya kutoshahuo muda mnaosema unahitaji maji mengi mimi sitahitaji wayaweke maji mengi asubuh na jioni kama wengine wanavyofanya ukifanya hivyo una dumaza tunda
shambani ndumbaMungu wetu takasa vyakula viingiavyo katika miili yetu vinapitia maagano mengi, hapa ni shambani bado hakijafika sokoni.
Wewe kweli uko gizani, hivi hujui kuwa ukienda kwa mganga wa kienyeji na akikupatia tiba za kichawi unakuwa umepoteza roho yako kwa shetani????roho? soma vizur hakuna seh nimesema nimepoteza roho
Huenda ndio maana limekuwa taifa la vichaa eenh!shambani ndumba
sokoni ndumba
kwa street vendor ndumba
bado mkeo hapo hajakufanyia kitu
achana nao hao wengi wa opposers Jf wanaishi kwa shemeji yaani niweke mill 5 seh alaf niogope kuloga kwash 20000 kama dhambi mbona tunafanya nyingi tu kikubwa kabla hujakula kitu kiombeeeKama hayajakukuta bora usidhihaki mleta mada, upige kimya tu.
Kilomo nakijua kidogo challenge yake, hongera mkuu.
Mwisho hamna kitu unaona kizuri ukadhani kinaelea tu, ni sawa na ule msemo “mti wenye matunda...ndio hupigwa mawe” kama sijakosea.