Yes, Ni kazi sana mwanaume ku pretend MDA wote huo sisi tuna pretend sana kabla ya kulala na mwanamke tukishamlala tu pale tunakuwa really kitabia kwa wenzetu ukorofi uhuni na madhaifu mengine tutayajua kirahisi...Na kwa hili wahanga wengi huwa ni wanaume....
Wanawake ndo huwa na makandokando mengi..
Ni vigumu sana kwa mwanaume kuficha vile alivyo in 5 years of courtship.
We to yeye kumbe na kademu....sorry nilijua kadumeI look like aboy...isti? Ha ha haaa
We to yeye kumbe na kademu....sorry nilijua kadume
Kwnn msiwe criaz??Hamuwezi kuwa serious aise..
Yani muingie kichwakichwa tu.
No please. Chunguzeni na tena mumshirikishe Mungu.
Ni kuacha kuishi maisha ya maigizo....Unachotaka kutuaminisha hapa ni nini!??
Tayari umewolewa?aaah usinifanyie hivyo nakutamani mwendhio njoo unipe Raha unizalie watoto wenye akili Kama zakoTayari aisee,umeamkaje
Mambo haya hayanamwenyeweMahusiano yana mengi sana, kila mtu ana Mapungufu, inahtaji moyo wa chuma! Unakutana na mtu Anakosea yeye na Atakukasirikia yeye, Utakaa na mke kwenye Ndoa kuna Muda Hamtoongea pengine hata sababu huijui Au haijui Ni husara zako tu kuiokoa ndoa Yako na zaidi Kuwa watu wa Maombi kila wakati
Yesu hakuwa na mke usimpe majukumu yasiyomhusu.Ndiyo shoro,kuchaguaa kwingi...mbona ndo zinawashinda sasa? We oa mengine mwachie Yesu