Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Weekend imeanza kukumbukana, its Nilhaam day huh!
Soon and very soon we are going to have her back here.....InshaAllah......subira kidogo my brother,we are almost there.....:roll:
Mvumilivu ula mbivu, vumilia tu she will be back, very soon she will be back just keep hangin in there
I did an extra JOB for AD si unajua wadada huwa wanakuwa na wasiwasi wanahisi tutacheza mioyo yao kwahiyo lazima uchomeshwe mahindi kwanza akupe mtihani fulani aone kama ni kweli au unazuga tu ili mradiKaka usiombe kuchomeshwa mahindi ni nouma, hivi AD alikusikiliza for how long? unajua mvumbika mbivu hula mbovu lakini?
Nakupenda sana mpezni wangu Mungu atakupa shifaa tutaonana kwa furaha.
- Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
Kilio sitogeuza, roho yangu mahtuti
Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki
- Usirudi japo mwaka, Mimi nitakungojea
Ukirudi nakutaka, wala sitoona haya
Moyo wangu meridhika, sichoki kuvumiliya
- Wajuwa ninakupenda, ndio maana waniringiya
Unanifanyia inda, mapenzi kuyasusiya
Baada ya hichi kidonda, na moto unakitiya- Anayependa kikweli, hachoki kuvumiliya,
Habadilishi kauli, hata ukimchukiya.
true love never die
Mwalimu mbona umeadimika siku hiziBwana Mkubwa usisahau kuandika source ya tungo yako siku nyengine.
Mwalimu mbona umeadimika siku hizi
Bwana Mkubwa usisahau kuandika source ya tungo yako siku nyengine.
I did an extra JOB for AD si unajua wadada huwa wanakuwa na wasiwasi wanahisi tutacheza mioyo yao kwahiyo lazima uchomeshwe mahindi kwanza akupe mtihani fulani aone kama ni kweli au unazuga tu ili mradi
Mohammed Shossi usijali, Nilhama yuko salama,
Mola ni mwema kula ugali, Usije kufa kwa njaa,
Usiwe na hofu kwa kweli, umpendae yupo salama.
Mmmmh, ngoja nikimbie, manake fani nyingine sio za kuiga.
Msije mkani:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:bureeeeeee
Labda attention imemtisha...., wengine huwa ni Solitary na tuko scared of attention tusijemfanya akabadilisha ID