Nikweli YUSUPH MAKAMBA anahitaji Kupumzika siasa??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini siasa za Makamba nikagundua Anapwaya kwenye madaraka yake!!Sasa najiuliza kwanini anakuwa anatapatapa??Kabla ya kumaliza jambo yeye tayari amaisha shika hili??Je niuchovu wasiasa au nini!
Nanikaja kugundua ccm ilipo sasa anayesababisha ni huyu mzee nikajiuliza Mwenyekiti anaridhika na hii hali??Kweli sipati jibu Juzi nilikuwa na msikiliza Jackton Manyerere aliweza kuthubutu kusema ccm inameguka vipandevipande!Japo hapo nyuma hasingethubutu kusema hivyo nikashanga hata wana ccm wanaliona hili wakati Katibu kavaa miwani ya mbao isiyoruhusu kuona upande wapili!Nakaweka Pamba yenye n'nta kwenye masikio ili isiruhusu hata neno moja kufikia kwenye masikio yake!!Nakushindwa kuleta umoja kwenye ccm!!Huyu mzee ya bidi apumzike au mwenyekiti ampumzishe kuna watu wanaweza kuendesha chama kikubwa kama ccm wapo ccm!!Tusing'ang'anie kuosha injini wakati taa ya oil inawaka!!Injini ni mbovu!
 
SI KWELI MAKAMBA LAZIMA AENDELEE KUWA KIONGOZI WA JUU WA ccm MPAKA CCM ITAKAPO ANGUKA ,ANAFAA SANA NA NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUUA CHAMA
 
HAPANA!
Asipumzike.
Aendelee na madaraka yake ya Ukatibu Mkuu ili aendelee kuiharibia CCM, si anapendwa na aliyemteua? (yaani JK?). Kwa JK ushkaji ndio sifa kuu ya kuteuliwa.

Aendelee tu ili aidhoofeshe CCM.
CCM ikidhoofika ndipo nchi itasonga mbele.
 
Ila wanao ongozwa na makamba wanapata shida sana,maaana ni kichwa maji anakurupuka sana.ila ndio safi aendelee tu hivyo hivyo.
 
Apumzike atuachie lichama letu makamba hafai mpuuuzi yule.
 
kama mambo anayosema ovyo ni yake binafsi akachukulia kama msimamo wa chama chake, ni bora apumzike; lakini kama asemayo ni maamuzi halali ya chama chake, ataibuka makamba mwingine mwenye jina tofauti na huenda na sisi wenye haraka kama makamba huyo, tukaishia kusema tena apumzike siasa. tafakari.
 
aendelee, inabidi tuanzishe poll ya kumwondoa ua abaki kw kupiga kura, lakini mimi naona aendelee waje wajute kwa nini hawakuchagua msomi, yeye na Tambwe wamearibika kisaikrojia
 
Wacheni kuongea bana mtawashtua sisiem bureee waanze kujirekebishe tunyamaze kimya wafanye mautumbo yao na viongozi wao wenye tumbo kubwa!! Tanzania inaongoza duniani kwa kuwa na viongozi wenye tumbo kubwa!!! Congradulation tanzania one
 
Sio kupumzika kisiasa peke yake, anatakiwa apewe pumziko la milele yaani aende kupumzika ahera ndo size yake.
 
tusiwafumbue macho jamani tuwaache wazidi kukorogana wao kwa wao ili kwetu iwe neeeem mpaka kieleweke
 
Mimi najiuliza kwakuwa ccm wanautaratibu wao wakuendesha siasa mimi nashindwa kuelewa kwanini makamba na baadhi ya wanachama wanasigana!kimaelezo??je hawana vikao??
 
Mungu ampe maisha marefu Makamba mropokaji na yeye ndio njia yetu ya ukombozi yule jamani wala tusijali,anatusaidia sana kupata ukombozi kutoka katika chama cha wezi wa nchi yetu,nampongeza sana Makamba na tutamuenzi kwa kutusaidia kufikia ukombozi wetu,


MAKAMBA Oyeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom