Nikupe nini mimi

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Have a great weekend dear. Miss you badly.

 
Last edited by a moderator:
Thank you but umenikumbusha mbali na huu wimbo benteke
 
Last edited by a moderator:
Ahsante.......ila sio kwa ubaya ni kwauzuri tu

Nilikuelewa, hata samba na ukali wake lakini anafall in love. Ni natural hatuwezi kuzuia, na ukijaribu kuzuia utakua unajiumiza sana. Guys, go out there and fall in love. Its a good thing.
 
Nilikuelewa, hata samba na ukali wake lakini anafall in love. Ni natural hatuwezi kuzuia, na ukijaribu kuzuia utakua unajiumiza sana. Guys, go out there and fall in love. Its a good thing.

kama hujatendwaaaaa utaimba hadi mapambio subiri utendwe...............
chuki yazid upendo
 
kama hujatendwaaaaa utaimba hadi mapambio subiri utendwe...............
chuki yazid upendo

gfsonwin kutendwa kwenye mapenzi kupo toka enzi za kina Daudi na hata kwenye biblia kuna mtume alisha chepuka mpaka na kijakazi wake (house girl ) ila ni vizuri ukatumia fursa vizuri wakati uko mapenzini..ukipendwa penda. Tusipende history ichukue maisha yetu mazuri tuliyopewa na mwisho naomba nikunukuu 'NNDUMI KAMKUKUNDYA KUORE KYEMLEMA PFO'
 
Last edited by a moderator:
m honored................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…