B Buzuruga Stendi Member Joined May 11, 2016 Posts 75 Reaction score 149 Apr 4, 2018 #1 Wakuu natafuta mtu mwenye pressure washer ambayo hana matumizi nayo kwa sasa. Iwe ya mafuta Nitalipa kwa wiki/mwezi Niko Tabata Iwe anafanya kazi Mazungumzo zaidi njoo PM, namba yangu ni 0658584706
Wakuu natafuta mtu mwenye pressure washer ambayo hana matumizi nayo kwa sasa. Iwe ya mafuta Nitalipa kwa wiki/mwezi Niko Tabata Iwe anafanya kazi Mazungumzo zaidi njoo PM, namba yangu ni 0658584706
B Buzuruga Stendi Member Joined May 11, 2016 Posts 75 Reaction score 149 Apr 5, 2018 Thread starter #2 Wakuu
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,201 Reaction score 6,268 Apr 5, 2018 #3 More details weka basi. Offer yako ya wiki au mwezi ni kiasi gani? na je vipi kuhusu utunzaji wa mashine nao, ikiharibika msala anabeba nani? mashine iwe na nguvu kiasi gani?
More details weka basi. Offer yako ya wiki au mwezi ni kiasi gani? na je vipi kuhusu utunzaji wa mashine nao, ikiharibika msala anabeba nani? mashine iwe na nguvu kiasi gani?
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,154 Reaction score 14,114 Apr 5, 2018 #4 Ngoj waje wataalamu wa kukodisha...
Baiskeli JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 336 Reaction score 61 Apr 5, 2018 #5 Ninayo ya umeme na ya mafuta.
B Buzuruga Stendi Member Joined May 11, 2016 Posts 75 Reaction score 149 Apr 5, 2018 Thread starter #6 Baiskeli said: Ninayo ya umeme na ya mafuta. Click to expand... Nahitaji ya mafuta mkuu,njoo PM
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,703 Reaction score 21,833 Apr 7, 2018 #7 Kuna jamaa humu anauza bei nzur,ngoja nilete uzi wake
primolut N JF-Expert Member Joined Feb 9, 2018 Posts 391 Reaction score 317 Apr 9, 2018 #8 MSAGA SUMU said: Kuna jamaa humu anauza bei nzur,ngoja nilete uzi wake Click to expand... Fanya haraka
MSAGA SUMU said: Kuna jamaa humu anauza bei nzur,ngoja nilete uzi wake Click to expand... Fanya haraka