Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,099
- 630
Aaah wapi.Utakuja kutuambia.Chadema wapo vizuri.Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.
Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"
Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.
KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.
Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.
Mandla,
Nipo Moshi..rudi tu swaiba..huku habari tunayoijua ni chadema tu,kura kwa jafari ndio habari ya mjini..Moshi ni chadema, chadema ni Moshi
Wanabodi kwa ujumla,
KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

njaa zitakuua kwa hiyo umeona davis mosha pekee ndio anahitaji msaada? kwanni usije kawe kumsaidia kipe warioba anayeburuzwa na mdee?
Pole sana na karibu sana.
Kwa Moshi ninayoijua basi ujiandae kuandika historia ya kushindwa kwa kishindo.
CCM haipo Moshi mjini na mjiandae kupata diwani wa viti maalum pekee.