Niko njia panda

Hahahahaaaa.....gal unanichekesha soma alama za nyakatii..ivi 28 yrs did u think hupati mume fresh?y be 2nd? Na jiulize ndoa alioshindwa mwanamke mwenzio utaiweza ww ? Y ?kimbia hapo mama sikushauri kabisaaa hapo majangaa...find a man fresh kwanza bado mdg achana na mizigo iliyodivorce ni shidaaaaaaa....
 
hivyo vituko usikute vimebarikiwa na kaka yao unajitwisha mzigo wa majukumu kuwasaidia hao wifi zako wakuone una roho nzuri sana tena kabla hujaolewa ili iweje
washakusoma umekataa tamaa ya kuolewa muhimu fanya yako kuanzia sasa mweke chini huyo shemeji akueleze kiunaga ubaga kifuatacho ni nini
 
Ukiskia mtu ametalikiana na mtu wake ujue hata yeye anaweza kuwa ni tatizo au cause ya hiyo talaka sasa hapo hao wadada ndo tatizo
 
think deeply


Ni kwel kabisa.....
 
Alafu kitu kingine jamani wasichana acheni nambo ya kuwa na ukaribu na ndungu na wazazi wa mwanaume kabla ya ndoa, mara nyingi sana msichana anapojenga ukaribu na familia ya mwanaume kabla ya ndoa huishia kubaya. Acheni

Ni kwel usemalo....but ukarb wngu ulitokana na wao kuniletea matatzo yao madog madogo... na smtymz nlikua naenda kwao lakn nikiwa na kaka yao...mm nlijua ni watu waelewa.....
 
Hilo nalo neno...... Ni kwel lazima nijiulize hicho kburi kinatka wap.... ilhal nimewasaidia sn sn ktk hka kauwazo kangu kadogo nkichonacho. I have to think on that....

Hii misaada huwa ni kama hongo fulani!! Mimi ndio maana Hata nikikwama huwa Kuna watu specific wa kuomba tafu, hawa wengine hasa hasa wa kike Hata kama ni 1st degree relative huwa sitaki msaada wowote kutoka kwao
 

Wala ckumlazmisha anipeleke kwa ndg zke...na wala clazmish ndoa coz ndoa kwng c issue... na nina jiamin coz am stil cute....!!! But asante kwa ushauri....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…