Soma alama za nyakati dia...mpaka hapo ulipo nadhan ushajua what is best for you!! japokua ma wifi si ndo wanaokuoa...ila ukishaona uhusiano unakua wa ugomvi kila mara jua wazii hutakaa ufurahi huko mbelenii..do yoh best
Mmmmmmmmmh! Olewa hivo hivo! Maisha ndo yalivyo sio kila sehemu utapokelewa kama malkia! DONT CHICKEN OUT AND RUN AWAY, STAY BACK TO FIGHT BACK THEM ALL, AND HAVE YOUR WAY! I AINT SAYIN IT WILL BE EASY, MAY BE HARD BUT CERTAINLY NOT IMPOSSIBLE! Dont give up what you want for what they will say. KEEP PERSUING YOUR HAPPINESS!
Some are born lucky with a kind fate, handed the silver plate some of us have to fight back to take what we want, or what is rightfully yours but fate wont let you have it,
Fanya maamuzi magumu
Kwanza Kabisaa acha kuwasaidia....wakitaka msaada waje wenyewe kukuomba usimpe kaka
Yao awape.. na
Waje kwa adabu..
Wanaona haunasi mimba.
Ndugu wa mme hawabebeki,usifikiri kuwasaidia ndo kutawafanya wasikutende,acha kuwasaidia jiwekee akiba yako ya uzeeni.Kuwasaidia watu ambao ukiwapa mgongo wanakung'ong'a ni kujiumiza tu.Hilo nalo neno...... Ni kwel lazima nijiulize hicho kburi kinatka wap.... ilhal nimewasaidia sn sn ktk hka kauwazo kangu kadogo nkichonacho. I have to think on that....
Kaka yao mwenyw hapend kabisa wanavyonipga mizinga..... na hyo mizinga huwa hawapitii kwake walinidirect mm.... lakin toka wamenuna nadhan hawatakuja tena kwangu mm... Maana wananichukia kwa kwel....without any aprnt reason.....
Angalia mahusiano yao kama famili yakoje, kuna sehemu ambazo ukioa au kuolewa utajikuta unateseka kila uchao.
Kumbuka kuwa hao ni ndugu wa mwanaume hawawezi kuachana, kaka yao ameoa hadi ameacha lakini ndugu zake bado wako pamoja.
Jaribu kuchunguza sababu ya huyo mwanaume kuachana na mke wa kwanza, unaweza ukakuta ndugu walihusika.
Hilo nalo neno...... Ni kwel lazima nijiulize hicho kburi kinatka wap.... ilhal nimewasaidia sn sn ktk hka kauwazo kangu kadogo nkichonacho. I have to think on that....
C kwel... kwan huyo wif yao walikua ni moshi na pua... hata salam ilikua hakuna na mpaka sasa huwa hawaongei....Na baada ya kunifaham mm walinipa shit nying sn juu ya wif yao aliyepita ni kuwa hakuekewana na hata mmoja wao....