Unadhani muda wakuoa vigezo vitatimia kama unavotaka,kua uyaone,utamkumbuka huyo dada nakwambiayani kwa kweli mi naona ni chenga tu, na kigezo cha kua mke wangu hana ata kimoja zaidi ya ile portability yake tu, ila sifa zingine hana
Wewe ni mwanaume buana. Mimi niliwahi kuwa natoka na binti mmoja wa Country code +254.. Sasa nikaona analazimisha nikamtambulishe home huko mwisho wa reli.mwaka jana mwishoni kuna msichana nilianza nae uhusiano wa kimapenzi japo kua rafiki zangu karibu wote hawakuniunga mkono mimi kua na yule dada. nami nilichukulia kawaida tu ni maoni tu ambayo watu wanweza wakazungumza.
mwanzoni mwa mwaka tukiwa katika penzi zito kuna maneno aliyokua anaongeaga nami nilikua siyapendi japo sio mara zote nilikua nikimkaripia kuhusu kauli zake,
mara utamsikia akisema umenikuta kwetu nikiwa nakula,navaa na chochote ninachotaka kutoka kwetu nakipata,
mara pamoja na kwamba natongozwa na watu wenye hela na magari ninawakataa nimeamua kukupenda wewe kwa sababu unamapenzi ya kweli japo hauna pesa bado, mara saa ingine nikisafiri ananiambia ulienda kwa wadada wengine.
imepita kipindi hivi kama mwezi hatujawasiliana vizuri na juzi nikakaza sitaki mawasiliano nae tena leo mama yake mzazi kanipigia simu ananieleza kwamba yule dada hataki kula wala kusikia chochote hivyo anaomba nimsamehe mwanae!!!
na mimi sipo tayari kabisa kua nae tena kulingana na sababu hizo na zingine nyingi. sasa wakuu nifanyeje???
na dada anataka kuolewa lakini mi ndo kwanza nishabadilisha maamuzi
msaada samahani....
sa ulimtongoza wa nini?yani kwa kweli mi naona ni chenga tu, na kigezo cha kua mke wangu hana ata kimoja zaidi ya ile portability yake tu, ila sifa zingine hana
Huyu wa mkoaDah... ebana eeh... uko Dar au mkoa?
mtu kukupenda sio kigezo cha kumwoa wala kufunga ndoa swala ni kwamba huo upendo uko kwenye nini?? kama upo kwenye mali siku mali zikiisha basi hakuna upendo, na kama anasema napenda tu bila masharti wakati mi naona sio hivo ya nini kuendelea kua nae??
Kama ukweli vile, huyu jamaa alikuwa second choice au hata third hand hapo. Ni baada ya mambo kumwendea ndivyo sivyo akaona aibuke na huyu jamaa hivyohivyo.experiance inasema hapo chapa lapa, hao zamadamu hawanaga akili, we ulikuwa second choice au substitute wa mtu
Talking from experience au??Unadhani muda wakuoa vigezo vitatimia kama unavotaka,kua uyaone,utamkumbuka huyo dada nakwambia
Hapo njia panda ulipo, heri ufate njia ya kushoto