Niko njia panda, naomba ushauri

Miaka 12 yuko single!!!
Be a little more careful. ..
 
yale yale

eti nilikuwa sina mpango nae.. ukamvulia nguo ili nini? haya sasa na mtoto ukajipatia..!

Wanaume wenye tabia hizi mbadilike, nini kuzaa watoto ambao watakosa mapenzi ya baba? kama binti humpendi si umuache???
 
B'REAL naona unataka kuruka mkojo ukanyage m.a.v.i. Una uhakika gani kama huyo dada umpendaye alikuwa single miaka yote hiyo? Je ni kweli alikuwa anakusubiri wewe tu? Naomba ufikirie mara mbili mbili, Hukatazwi kumpenda ila unaweza kupenda sehemu siyo kabisa. LEA MWANAO!!!
Nakutakia kila la kheri katika kuchukua maamuzi yaliyo sahihi na yenye busara
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…