Niko njia panda, naomba ushauri

Jaman jaman we mkaka hv unajua 12yrz km ni mtoto alizaliwa nw yupo s.t.d 6..aya zile tabia zake nzr za zmn ulizozijua una uwakikaa km bado anazo??au ndo ameshapea??uyo hayupo sngo ameshateeendwa uko ameona aje afie kwako ..utamuacha bint wa watu bure kw kupenda vya zaman na yy anakupenda hvyo hvyo kwa sasa??au koz kakuambia nakupenda am sngo bas makende yamekusmama??
Aya umeenda umemwambia umezaa akakuambia nimekusamehe ila na mm nina watoto watatu:
Utampenda bd?na ukipenda boga penda na maua yk??km utahs utampenda ht km atajua ni misalaba yk bas consider your self yua in real love bt km unahs ukifka akikusmulia ya kwakwe hutaweza acha na utulie na rafkie
 

hahaaa afunge safar aende na yeye akakutane na dhamb za mwenzie tn uskute kubwa kuzd zake ndo apo atakapo choka roho na nafs..anavyoskia mavi ya kale hayanuk anafkr yt eee meng yananuka
 
huyo MDADA uliyepotezana nae ambae unasema mlikuwa mnapendana sana hadi watu walikuwa wanajua je hukujua kwao mtaa au kijiji au popote ambapo ungeweza kuanzia hapo kumtafuta?!?
 
fuata moyo wako unapotaka...ila me nakushauri uwe makini maana naona km unaelekea kupoteza wote
 
i belive in true love....lakini kuna kipindi kama mwanaume you have to make a hard choice.huyu uliyezaa naye atakuwa mgeni wa nani?kama hukumpenda kiivyo kwann umle kavu au hukujua madhara yake?usije ukawa unaruka mkojo na kutua kwenye mavi,fikiria sana kabla hujaamua
 
A up to Z ni majibu cha msingi fuata upendo wako wa dhati upo wapi.
 


Well said
 
Huyo wa miaka 12 sio ridhiki yako, sikushauri kwakweli
 

yule manzi wa kikenya uliweka picha yake hapa ashaondoka kwani?

alikuwa kavaa pensi na sidiria

au alikuwa wa kumega kisela tu
 
yule manzi wa kikenya uliweka picha yake hapa ashaondoka kwani?

alikuwa kavaa pensi na sidiria

au alikuwa wa kumega kisela tu
hahah unakumbukumbu swaiba yule ilikuwa mukatee na bataaaa....buredi and bataa tu
 
Miaka 12 bila mawasiliano? Hee kweli nyie ni noma ina maana hata ndugu zake hukuwa na mawasiliano nao wakusaidie kumtafuta? acha kutuzuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…