NGAYANIMO
Member
- Feb 17, 2026
- 36
- 55
Ukiniuliza Vip mambo..?/
Nitakujibu mambo poa/
Ashishi Pafu mbili nashangaa unakohoa/
Mchezo unaocheza tuliucheza zamani/
Usiniulize mimi na nani..?
Labda na Kaka ako /
Au Uncle Au labda na Baba ako/
Navuta nao Bangi/
Wengi wako University wanatafuta masters na P.h.D/
Mimi niko fresh kama "Mc" shika "M.c"/
Dar es Salaam, Amsterdam na ninafika mpaka stocko/
Fresh kama navyotaka Taka/
Kujua unakokwenda nikujua ulikotoka /
Nikikumbuka nilikotoka mimi mwenyewe nachoka/
Enzi zangu Bongo/
Michezo tuliocheza ni kucheza na kifungo/
Kila siku mitungo/
So siri na hatukuwa na Dili/
Dili ilikuwa kamari /
Ugomvi na polisi sasa basi/
Napiga simu kwa R.P.C , R.P.C amueleza O.C.D, O.C.D awaeleze na MaP.C wote/
Popote wasinikamate kwani mimi sio mwarifu ila ni Raper maarufu/
Sasa natafuta pesa maradufu tiga tiga sisinipige chega/
Niko Fresh kama fresh ya Unga/..
Ukwaju wa kitambo