Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau mimi nshawahi ajiriwa serikalni kama mwalimu ila badae nkakimbia mazingira magumu, kilichofata mkurugenzi akafunga mshahara na badae akanifuta kabisa kwenye payrole.
Kama bahati nimebahatika kupata kazi kupitia tume ya ajira katika shirika la umma. Wakati najaza mkataba wa kazi HRM wa shirika alinisisitza kama nishawahi ajiriwa serikalini nisifiche maana system itanidetect hata kama nishafutwa payrole. Mimi licha ya hilo nilikaa kimya na jana nimeanza kazi.
Kwa wale wanaoyaelewa masuala haya je kwa hali hii naweza pata cheq namba?