Niko Dilemma

Ningependa kumuona huyo anayekupenda na wewe unasema hajakuingia moyoni siku moja anapata demu halafu aanze kupunguza mapenzi kwako ndo utaona effect yake ,from 48 principles of power wanasema use your absence to increase respect and honour
 
Baki ambapo unaamani, usiufatishe sana moyo hupoteza wakati mwingine.

Wekeza akili na mawazo yako kwa uliye naye, wanawake nirahisi kujifunza kupenda kuliko wanaume.
 


Umeshakoesea tayari

ukiwa una muomba Mungu, hutakiwi kumuelekeza mungu akupe mtu ulienae tayari machoni pako; pili ukichukua second love kwa huyo mtu wa pili ur going to cry again better to remain for the first guy; huyo second guy bado mambo mengi utajuta
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa huyo jamaa wako wa kwanza ambae anataka kukuoa humpendi!...... Swali ambalo sina jibu nalo kwa sasa ni kwamba je inawezekana kuolewa na mtu ambae humpendi? (Somebody help me to answer this question please! )
Mkuu hiyo ipo na inatokea sana katika jamii yetu
 
Mimi naomba nijibu swali lako kwa kuuliza maswali kadhaa :
Wewe uko tayari kuingia kwenye ndoa muda huu au upo upo bado ?
Umri wako unaruhusu kama msichana kuendelea kuchunguza huyo mpenzi wako wa pili ambaye hata hujamjua bado ?
Kama unataka kuolewa kweli huyo wa kwanza ni bora zaidi kwa sababu unamfahamu tayari na mengine mengi.
 
Haujampenda kwa kipindi chote hicho unategemea ukiingia naye kwenye ndoa ndo utampenda?..Kama huko tayari kuishi kwa kuvumilia ndani ya ndoa basi kubali kuolewa naye..Kama hauwezi ni bora umwambie tu mapema..
 
Bado kidogo utaumizwa tena...inaonekana unapenda mapicha picha. ..huyo uliyenaye kashatulia na hupati drama kama za huyo mlevi.

Go ahead nenda kwa mlevi utatukuta hapa tunasubiri uandike uzi mwingine.
 
Choice is everything before starting any relationship and
Don't be in relationship because you are lonely,be in a relationship when you are ready .....I hope in your next relationship utayakumbuka haya.......ukute huyo kaka kuna mdada anampenda kwa dhati lakn anamzingua kwa ajili yako ww mwenyewe duh........
 
una tamaa tamaa ndio maana mzazi mwenzio alikutenda
 
this world is fu.cked up, cjui kwann mara nyingi ukiwa unampenda demu kiukweli na una malengo ya kumwoa, yeye ndo anakuwa hakufeel kabisa, lakin wale mademu unaotaka kuwapitia tu ndo wanakutaka balaaaaaa rubii rosita angelita Kaboom
Mkuu okoyoko umenigusa sana mpaka moyo umekufa ganzi sijui hawa wenzentu wanafikiriaje kuhusu haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…