Niko Dar nahitaji Marine boards za kukodi

Niko Dar nahitaji Marine boards za kukodi

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
69
Habari wakuu nipo Dar (Kimara) kwa mtu anaekodisha marine board naomba ani-pm
natarajia kumwaga zege kwa ajili ya slab wiki ijayo Mungu akijalia uzima.
 
Username yako inapunguza credibility ya ulipaji hasa unapokuwa na request kama hii ya kufanya business
 
Tuache masihara kwenye mambo ya msingi, kama huna hoja its better ukakaa kimya, thanks in advance Captain Phillip
 
Kuna jamaa anakodisha maeneo ya boko ccm ..nilikuwa na namba yake nimepoteza ...upande wa kulia kama unatokea tegeta
 
Back
Top Bottom