Mondi katoa ushauri mzuri kwa mwanaeHuyu jamaa ni moja ya wanamuzik wanaojitambua mondi kaishia kumshaur mwanae akikua awatembezee
Fafanua hapa sijaelewa mzee.Huyu jamaa ni moja ya wanamuzik wanaojitambua mondi kaishia kumshaur mwanae akikua awatembezee
Wewe lazima utakuwa baba swalehe ndiyo uandishi wake. Ban sio nzuri[emoji38] [emoji38] code hiyo mkuu
Ingilia web utaona juu pale sababu ya ban na muda wa ban.Daby unajuaje muda wa kuisha ban ?
Hahahahah kwahiyo mzee umeshindwa kuvumilia umekuja kivingine?Daby unajuaje muda wa kuisha ban ?
Pole mkuu umelambwa ban kumbeNdo mm mkuu sijui ban itaisha lini daah !!!
Baba swalehe umepigwa ban ukaja na id mpya pole sana mkuuHuyu jamaa ni moja ya wanamuzik wanaojitambua mondi kaishia kumshaur mwanae akikua awatembezee