This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,184
- 5,426
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Nikiwa ukweni wilayani Rombo nikifanikiwa kufika katka kata ya SHIMBI KWANDELE, huko nilishuhudia matumizi makubwa ya fedha kabla hata mchujo wa kupata wagombea watatu haujafanyika katani.
Wagombea wawili ambao ni kijana mmoja mtia nia na ambae ana taaluma ya UINJINIA na mwingine ambae niliweza kupata jina lake moja la kwanza anaitwa GEORGE. Huyu niliambiwa alikuwa mwalimu na alifukuzwa kazi baada ya kughushi vyeti/ vyeti feki wakati wa Utawala wa Mgufuli.
Wamekuwa wawili hawa wakitumia fedha kwa wingi kuhonga baadhi ya wajumbe wa kura za maoni tangu kabla ya kuchukua fomu.
Najiuliza wagombea hawa walikuwa na uhakika gani wa majina yao kuteuliwa na kurudi kwa ajili ya kura za maoni?
Wito wangu kwa Ccm Rombo angalieni hiki suala kwa umakini.