Nikiwa Rais, ajali za barabarani na ujambazi hautakuwepo kamwe

Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
3,170
6,518
1. Ikitokea ajali au jambazi wafuatao wanashuka cheo na madaraka siku hiyo. RPC, RSO, RCO, RTO, OCD, DSO, DTO na OCD! mameneja wa tanroad na latra mikoa.

2. Askari wa usalama barabarani wa zamu eneo hilo nawasweka ndani mwezi yenye selo ya maji machafu.

3. Nitaongeza bajeti ya polisi kwa 200%

4. Kima cha chini cha Polisi kinakuwa 850,000/= bila makato, posho inakuwa 390,000/=, watajwa juu nawapa posho ya madaraka kati ya 500k hadi 1000k.

Leseni za mchongo naagiza zirejeshwe.
 
Abiria aliyezidi kwenye gari anakaa selo siku 3 kwa gharama zake. Sh 10,000 kila siku. Kama hana anapelekwa kufanya kazi za uzalishaji kufidia.

Kosa 1 faini 100,000

Wiki ya kwanza bodaboda na bajaji nawakabidhi FFU na wakitia adabu wanaendelea kama kawa, wakiwa wakora jwtz inawakalisha kibabe.
 
Diwani au mbunge atakayeingilia majukumu ya polisi anakoma uanachama siku hiyo.

Siku ya 14 nikiwa madarakani nitaenda parokia ya chamwino, ijumaa naenda msikiti wa gadafi na jmosi kanisa la wasabato kisha namalizia uwanja wa taifa kutangaza malengo hayo.

Nitaarika mabalozi wote na wawakilish wa mashrka yote, watetez wa haki wote, maaskof wa majimbo au mikoa au dayosisi, mashe na maamiri wa mikoa yote watahudhuria taifa.
 
1. Ikitokea ajari au jambazi mafuatao wanashuka cheo na madaraka siku hiyo. RPC, RSO, RCO, RTO, ocd, dso, dto na ocd! mameneja wa tanroad na latra mikoa.

2. askari wa usalama barabarani wa zamu eneo hilo nawasweka ndani mwezi. selo ya maji machafu na kinyesi humo humo wanye.


3. nitaongeza bajeti ya polisi kwa 200%

4. kima cha chn cha pt kinakuwa 850,000 bila makato. posho inakuwa 390.

watajwa juu nawapa posho ya madaraka kati ya 500k hadi 1000k.

Leseni za mchongo naagza zirejeshwe.
HAYA NI MANENO YA LISSU JE NI KWELI ATAWEZA?
 
HAYA NI MANENO YA LISSU JE NI KWELI ATAWEZA?
mkuu inawezekana. Kijeshi amri toka juu huwa ina amsha amsha hasa.

Rwanda kwao GENTAMYCINE kwa nini wanaweza!

Rushwa kwa polisi inawapofusha macho.

Haiingii akilini kila disemba magari ya kwenda moshi na ukanda huo nauli inapanda na kuwatapeli ovyo wakati rpc, rto, latra nk wapo!

Wanashndwa nin kutoa vibali vya muda hata kwa skul basi kubeba abiria.

Nitatumia fukuza, kamata na weka ndani ili sheria zifuatwe.

Madereva sio wakorof, mfumo umewadekeza.
 
1. Ikitokea ajari au jambazi mafuatao wanashuka cheo na madaraka siku hiyo. RPC, RSO, RCO, RTO, ocd, dso, dto na ocd! mameneja wa tanroad na latra mikoa.

2. askari wa usalama barabarani wa zamu eneo hilo nawasweka ndani mwezi. selo ya maji machafu na kinyesi humo humo wanye.


3. nitaongeza bajeti ya polisi kwa 200%

4. kima cha chn cha pt kinakuwa 850,000 bila makato. posho inakuwa 390.

watajwa juu nawapa posho ya madaraka kati ya 500k hadi 1000k.

Leseni za mchongo naagza zirejeshwe.
😜😜😜😜😜😜😜Acha utipii!
 
Mimi nikiwa Raisi vipaumbele vyangu ni hivi.

1 MFUMO WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Bajeti kubwa itaelekezwa hapo. Nitahakikisha ndani ya miaka 10 matokeo yanaanza kuonekana.


2 Nitawekeza sana kwenye MAJESHI YOTE NA IDARA YA UJASUSI,Kipaumbele cha Askari yoyote iwe ni uwezo wa hali ya juu sana KIAKILI na sio KIMABAVU. Nitaweka bajeti kubwa sana ya mafunzo na vifaa, si kwa ajili ya kupambana na raia au wapinzani ila kuhakikisha taifa LINAKUWA salama dhidi ya maadui wa ndani na nje ya nchi.


3 Raslimali za taifa, pesa na mali zote za taifa nitajitahidi ziwe kwa maslahi ya taifa na sio mataifa mengine. Pamoja na hilo, nitahakikisha mazingira ya Biashara, uwekezaji na ujasiliamali yanaboreshwa sana Ili kila mtu angalau avune pale anapodunduliza.


4. AISEE SITAKUWA NA CHEMBE HATA KIDOGO YA HURUMA DHIDI YA MAFISADI, WAHUJUMU UCHUMI, MAJAMBAZI, WEZI NA VIBAKA.

Hapo nitakuwa mkali sana wala sio kwa kufoka, natoa amri tu tena siku 1 tu. "KWENYE UTAWALA WANGU SITAKI KUSIKIA TUKIO LA JAMBAZI, MWIZI VIBAKA KUSUMBUA AU KIONGOZI KUFUJA MALI ZA UMMA."


Baada ya hapo, kiongozi atakaefuja mali kwa madaraka yake...
a) namtumbua.
b) Namfilisi yeye na ukoo wake
c) Namfunga jela mvua 30+ au maisha.


Jambazi akikamatwa hakuna cha upelelezi, SHABA.

Kibaka ukikamatwa ukapelekwa kituoni LAZIMA UPIGWE ALAMA YA KUDUMU, ukirudi tena kituoni SHABA.

IGP, RPC, na maafsa wa polisi nikisikia fyoko fyoko la ukosefu wa amani katika maeneo fulani unaitwa UNAKULA STIKI ZA KUTOSHA na ikibidi nakudedisha wewe mwenyewe.

Yaani sitataka upuuzi Hata kidogo, ZAIDI NITALETA MAENDELEO SANAAAA
 
Kizibo utafaa kuwa waziri mkuu wangu.


Haiwezekani eti bajeti ya t41, zinatolewa 30 na zinafanya kaz 25. Wahuni wanagonga 5.

Bora bajeti inakuwa 28 na zinatoka zote.

Wakosoaji wataruhusiwa muda wote, na wanasaikolojia watafanya majukum yao ili nisipaniki.

Ukinisifia kinafki huna cheo muda huo huo.

La kodi nakuja nalo kw next comment
 
Kizibo utafaa kuwa waziri mkuu wangu.

Wala rushwa, wahujumu miundo mbinu na wez ni kuwapeleka kwa baba haraka wakatoe hesabu yao.


Haiwezekani eti bajeti ya t41, zinatolewa 30 na zinafanya kaz 25. Wahuni wanagonga 5.

Bora bajeti inakuwa 28 na zinatoka zote.

Naua mawaziri 5, wakurugenz 31 na naibu gavana.

Matumiz ya kalamu na risasi yatamgezeka.

Wakosoaji wataruhusiwa muda wote, na wanasaikolojia watafanya majukum yao ili nisipaniki.

Ukinisifia kinafki huna cheo muda huo huo.

Nasisitiza nitakuwa zaidi ya kagame!

La kodi nakuja nalo kw next comment


Kuhusu kodi, mimi nitapunguza kwa kiasi kikubwa sana kiwango cha kodi kwa, yaani kodi itakuwa chini sana LAKINI LAZIMA. Ukijifanganya kukwepa UMEISHA JUMLA
 
Twendeni na huyu mwamba 2025.

Nipe Wizara ya Maji ili nihakikishe hadi mbuzi wanaoga kila siku vijiji vyote TZ..

Sio dunia la leo na teknolijia yote hii bado shida ya maji ni kubwa kuliko kawaida.
inakera sana mkuu! Miji ya bukoba, muleba, chato, katoro, sengelema, mwanza, bunda, musoma na tarime haina maji ya uhakika pemben mwa ziwa'
 
Back
Top Bottom