Nikikumbuka moyo unachafuka

aiseeee mimi nikiwa katika hali hiyo yan sijipendi sasa inakuaje mtu anaamua kuogelea jaman ptuuuuuuuu
 
Kitu ambacho ningeweza kubadilisha na kuwa bado mwanamke,ni kupata siku zangu,uuh,..
 
Nawapa pole mgegedaji na mgegedwaji.
 
Umeniangusha sana, ina maana ulishindwa kuvumilia au kumvumilia mwenzio. Na yeye ameshindwa kukuzuia hadi atakapomaliza!, aisee
 
Umeniangusha sana, ina maana ulishindwa kuvumilia au kumvumilia mwenzio. Na yeye ameshindwa kukuzuia hadi atakapomaliza!, aisee

Wehujui wanaume wengine ving'ang'anizi pia wabishi kupitiliza.huyo uchafu nitabia yake
 
kuchinja kuku inataka uzoefu kijana,kwa sasa tumestaafu
 
Kwani uliilamba ile damu kwenye papuchii??
 
Masai Eeeh huyu mi sijamuelewa alimgegeda mpenzi wake alikuwa anaishi mwezini au mwezi gani sasa hapa anazungumzia

Anazungu mzia mshahara wa kila mwisho wa mwez kwa wanawake na wasichana ambao walisha pevuka
 
Alaf zama za kuogopa hyo mambo zilishapita....kipindi cha nyuma hata mwanamke kutamka kuwa yuko period ama kuziona pedi zake (iwe imevaliwa ama bado) ilikuwa ni issue...cku hz tunatamka wazi mpaka kwenye vyombo vya hbr mna2tangzia...me huwa nawasaidia kununua hata wkt wa kuzvaa(kuiweka vema kwenye pichu)...SINA KINYAA WALA KICHEFUCHEFU!
 
Ptuuuuuuuu....ptuuuuu! Do not remind me oooh!!!
 
kwanza ndo kipindi nakuwa sijitamani hata kujiangalia,
2. Naumwa sanaaaa kiasi sitamani hata kuguswa kimahaba naona karaha.
3. Kunanywea hata kidole changu hakiendi bila maumivu sasa sipatii picha gegedo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…