Nikifikiria haya nashindwa kuiacha bia

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kila nikitaka kuacha bia nawafikilia Wananchi wenzangu ninaowapenda na ambao wanategemea mnyororo wa bia ili waishi.

1. Wakulima wa uwele na shairi ambayo ni malighafi ya kutengenezea bia.

2. Madereva na familia zao (na michepuko yao njia nzima) makampuni yanayosafirisha bia.

3. Wafanyakazi wa viwanda vya bia , walinzi n.k.

4. Wamiliki na wauzaji wa pubs , bars , clubs pamoja na wakusanya ushuru wao.

Wote hao wanafamilia , wanategemeana ili mambo yaende , watoto wasome etc.

Mhudumu niongezee safari mbili bariiiidi.
 
Hahahaaaaaa uwi nilivyo kimbilia mbio nikajua yamekufika hapa ndiomaana huwez acha boa kumbe mambo yenyewe ndio hayo
 
Usiache kama haina sababu ya kuacha au haujiskiii kuacha endelea kuonea huruma walimwengu
 
Walevi mna raha sana, jana nimezipiga za kutosha kwenye harusi ya mshkaji.... ile nimelewa namwagiwa masifa kinoma naiona dunia yote yangu natamba tu ukumbini kumwaga noti ila kuamka kichwa kinauma balaa.
 
Kama siku hizi barakoa zinatusaidia sana. Yaani unaenda kazini umeshazipiga safari nne za baridi baada ya kunywa supu ya utumbo, then unaendelea kuongea na wana bila kuhofia harufu.
 
Nimefikiria nimesikitik tuuu,,,siwez kuach kulala baa nahofia uchum utayumb vibay,,,,muhudum nyagii 1,safar 4 zinazovuj jash
 
Back
Top Bottom