Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Namuungamkono DreamChaser Hata mimi nilikuwa na simu ya Sonnyericsson satio tm ambayo inatumia OS ya Symbian S60v3 nanilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo hilo mpaka nikaamua kuachana nayo.Nafikiri simu hizi zimepitwa na wakati kidogo haziwezi ku-run hizi program ambazo zinafanyakazi muda wote na zinataka regular updates.