Nikiangalia video yaProf Abdulkarim Hamis Mruma naona aibu sana

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,612
8,746
Nikiangalia video ya Prof Maruma naona aibu sana jinsi watoto wadogo kama ingekuwa kwetu alishawapiga ban ya kuwafuta na kuwa wakulima.

Tanzania tuna watu wenye uwezeo ila wajinga wamepewa kipaumbele ili kudumu kuendeleza uijinga.

Rasilimali tulizo nazo hakuna hata moja mpaka kuandika vitabu kuwa walikosea wakisubiri kufa waache maandiko ndani ya chama.

Ina maana kutakuwa na dini Tanzania inayoitwa tokea ukombozi.

Rasilimali zote mpaka kuuza nchi hatuna tofauti na ndege ya msaani ambaye anamiliki ni msaani anatoka taifa la afrika naye raisi wake ni kama wetu.

Kila siku tunasaidiana kukagua uchaguzi kumbe ni wale samaki wanaosaidiana kujua maji yamepungukiwa kina.

Viongozi wetu leo tukisema turudishie pesa zetu mtakuta mpaka za kenu wanazo wao.

Kama shetani kuomba mkuguzi mkuu wa africa waliokufa kwenda kwake idadi ya waafrika wamekwenda kwa haki mbiguni kuliko motoni walio jaa viongozi.

Amkeni
 
bwana mdogo anamuoshea profesa daah.. haya mamikataba yasainiwe kwa sheria za nchi yetu, huko kwa watu weupe ndo nasisi tunaonekana weupe kichwani, profesa anajitetea mpaka kwa kurusha mikono na kuchora lakini wapi, kibano kiko palepale.
 
Back
Top Bottom