Nina Top Dell Inspiron, ilikuja na Window Ubuntu, Nilivoitoa kuweka Wndw 7, nikiActivate tu inazima, hata ukuweka window iliyoActivatiwa kabisa inazima jumla, Ila bila Activation inakaa siku 30 tu.

Hapo tatizo ni hiyo activator uliyotumia. Kuna activator fulani win 7 loader version2, sina link yake lakini hiyo huwa ndio iko poa. Otherwise Install win 7 ambayo ni activated

Mkuu ningekushauri ujaribu kuinstall windows 8.1 ila wakati wa kuiweka hii window hakikisha unadelete partition iliyokuwa na OS ya zamani na sio ku format.
Alafu kama hiyo setup ya window itakuwa haijawa activated basi uta activate windo yako kwa KMspico Beta 10...hapo tatizo likirudia update Bios na kama lipo tena itabidi ukafanye Hardware repairing kama vile ku mold chipsets.
Asanteh!