Nleterewa Nganengo,
Umetoa kauli tata.... 'umemham yeye zaidi kuliko ulivyoniham mimi au wewe umemhamu zaidi kuliko nilivyomham mimi'?[emoji848]
Kuhusu I'd nyingine umenifumbua macho ngoja nifungue I'd mpya kisha nije hapa kupiga hodi bila shaka utanikaribisha eeeh?[emoji6]