naandika hapa nikiwa na hakika kuna mtu yoyote wa tra ambaye anaweza nisaidia, nina lori nataka kulitowa bandarini, kwanza nimelog na vielelezo vyote, ni wapi nimenunua na risiti za malipo ya benki za kuonyesha ni kihasi gani nimetuma, lakini tra wao waka uplift bei wanayotaka wao, nikasema sawa nikubali nilipe kubishana mpaka mpaka wakikujibu itachukua muda, matokeo yake wamenijibu kimakosa, kwenye import duty wameweka asilimia 25 badala ya 10 kwa malori, sasa makosa ni yao leo ni siku ya tatu hawajarekebisha, kila agent wangu akienda wanamwambia tunalifanyia kazi tutawajibu, sasa jamani ni siku ya tatu gari yangu ina cbm 105 na cbm 1 wanacharge dola 1, means kwa siku ni dola 105 toka walivyojibu wakakosea mpaka nitakapokuja kulitoa huo mzigo wa storage anaubeba nani?
Kisha niiomba serikali yangu, hili swala la kuruhusu maagent tu watutolee mizigo waliangalie upya, tunaumia sana wenye mizigo, maagent ndiyo wanaoruhusiwa kuingia sehemu zote zinazohusika na mzigo wangu, asilimia kubwa ya maagent ni waooooooongo mno, kwanini serikali isiruhusu mtu ukalogin mwenyewe mzigo, si unakuwa na TIN namba.
nchi za wenzetu kusafirisha mzigo ama kutoa mzigo bandarini ni kitendo cha siku moja tu, unaenda na document zinazoonyesha mzigo ni wako na vitambulisho vyako vya utambuzi, unatajiwa malipo, unalipa, kazi imekwisha, kwetu kwanza ulogin document, zinapita siku mpaka wakujibu, na kuuplift ni lazima, uanze kugombana nao kwanza, siku nazo zinapita, wanakujibu tena, ukubari, uende bank ukalipe, system yao ionyeshe kama malipo yameingia siku moja nayo imeenda, document zishuke bondeni nako uanze kubembeleza kupewa release, ukipata ulogin tena hili upate hesabu za bandari, jamani mtafute njia za kufanya kazi kwa ufanisi hivi ilivyo sivyo kabisa. wahusika ni vizuri wakaangalia upya utaratibu wa utoaji mizigo bandarini