Mambo vp wana jf? Naleta
kwenu shida yangu nikiamini home of the great thinkers itanitatulia...
Sory kama nitakuwa nakiuka maadili ila sina maana mbaya...mwenzenu nina
mchumba ambaye nimekuwa nae kwa muda wa takriban miez tisa mpaka
sasa.,tangu nimpate miez kama sita na nusu hiv hatukuwahi kukutana
kimwili mpaka ulipotimu mwezi wa 7 ndani ya uhusiano...tatizo ni kwamba
mchumba huyu alivyokuja kwangu cku hiyo alidai anasiku ya kumi toka
amalize mzunguko wake(period)alinisihi sana ni2mie kinga nisimuungilie
hivihivi,sikukataa,mambo yalipoanza kama kawaida nilianza kumtafuta ni
wapi akiguswa anasahau shida zote,wakati nafanya hivyo nilibahatika
kunyonya chuchu zake but chakushangaza zile chuchu niliponyonya zilikuwa
zinatoa dizaini ya majimaji yenye ladha ya maziwa nilishangaa kdogo,ila
sikusema,muda ulipowadia nikazama ndani kuanza mechi,ubaya uliotokea
ile condom ilipasuka na nilipopiga bao moja akakataa tena akiwaamefura
hasira akidai kunauwezekano wa kushika mimba, INAENDELEA HAPO
CHINI