Nijuzeni app nzuri za simu kwa smartfone

Nijuzeni app nzuri za simu kwa smartfone

Havikujezwa

Senior Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
185
Reaction score
96
kwa anaejua application nzuri ya simu kwa television za ndani ya tanzania. yani TV APP naomba anisaidie .
 
Azam tv ni nzuri kwa sababu inafanyakazi mradi unainternet bando ubaya wake ni kwa channel za azam tu.
 
Back
Top Bottom