26 yrz
Samahani hapo naomba unifafanulie kidogo mkuuWataalam mpo pouwaaa...
Ebwana mi nina Mpenzi wangu nampenda sana real frm my heart
Ananiambia ana mimba nimefurahi na nipotayari kwa hilo bt simuamini totaly maana najua Wadada warembo niwazuri kwa kufeki.
Mi sio mtaalam wa mambo ya mimba ni mara ya kwanza, Kuna mshikaji wangu aliniambia nitumie Pregnant test kuhakikisha bt nilivyomwambia Mpenzi wangu akujoe nifanye hiyo test akatosa nakuniambia haamini hiyo kitu yupo teyari twende hospital yoyote bt sio kutumia hicho kipimo.
Naombeni ushauri
Kwa wenye utalaam na hili.
Wataalam mpo pouwaaa...

Shukrani Mkuu nitafanya hivyo bt vp tunaingia wote ndani ama mi nabaki nje!!Kwenu wewe unaogopa nini kwenda hospitali kama kakushauri hivyo? Haendi kukupima ngoma, si kakwambia mkapime hiyo mimba tu? Hofu ya nini tena?
Mi nakushauri nenda huko hospitali.
Nimekuelewa mkuu lakini iweje mtu anamdanganya mpenzi wake ali apige pesa anakuwa mpenzi kweli au ni mpita njia? simaanishi huyo wa kwako ila nahoji kwa wanaofanya hivyo, ishu yako ni rahisi nenda makapime usije hudumia hewaMkuu nimemanisha kuwa Madada zetu wanapenda sana kufeki mimba ilimradi watupige pesa
Ndio maana nasema siamini mpenzi wangu kama kweli ana mimba.
Madada zetu alwayz huwa hawamini kama tunawapenda tonakuwa kwny mahusiano ya mapenzi ndio maana wanaamua kutuset kwa madai ya mimba.Nimekuelewa mkuu lakini iweje mtu anamdanganya mpenzi wake ali apige pesa anakuwa mpenzi kweli au ni mpita njia? simaanishi huyo wa kwako ila nahoji kwa wanaofanya hivyo, ishu yako ni rahisi nenda makapime usije hudumia hewa