NIIJUA HATUA YA KWANZA NI HOSPITAL?

the_forum

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
774
1,001
Hv mtu kapotea wiki zima,amaerudi hata kuwaza kumpeleka hosp akafanyiwe uchunguzi wa kiafya hamna?

Tunaambiwa ni mzima kwa 100% mnajuaje?

Anaenda kupumzika home moja kwa moja,ilihali alitakiwa aanzie kufanya check up! Wengne wanakurudisha wakiwa wamekupiga sindano,vp zikileta madhara kabla siku haijakucha?

TUBADILIKE,KWA USALAMA WA AFYA NA MAISHA YETU!
 
Jinga sana vale watu .... wanafanya jamboz za kitoto sana .... ni wa kupigwa makofi, hata mwili wa afande mkuu wa Dar na kuongea kwake unaona kajawa na hofu na mashaka anacho fanya ... anahukumiwa ndani hadi kakosa raha.. na bado

unnamed.gif
 
Hv mtu kapotea wiki zima,amaerudi hata kuwaza kumpeleka hosp akafanyiwe uchunguzi wa kiafya hamna?

Tunaambiwa ni mzima kwa 100% mnajuaje?

Anaenda kupumzika home moja kwa moja,ilihali alitakiwa aanzie kufanya check up! Wengne wanakurudisha wakiwa wamekupiga sindano,vp zikileta madhara kabla siku haijakucha?

TUBADILIKE,KWA USALAMA WA AFYA NA MAISHA YETU!
Bila shaka haujamsikiliza Azim Dewji bali umemsikia.
Kasema yuko mzima ila kisaikolojia atakuwa hayuko sawa. Yule ni kijana wao na wanamjua na kwa jinsi walivyoongea nae watakuwa wamejiridhisha physically yuko fiti.
 
Jamaa anaonekana kabisaa hayuko sawa...

Anyway labda atafanyiwa checkup nyumbani na tabibu wa familia..
 
Hospital ataenda ila jua huyo MTU kapewa mashart kipi aongee na kipi asiongee, hatutaki mo aseme kitu maana majibu tunayo.

Ama kweli tutafute pesa Mungu kamlinda mo ila ma pesa yake imesaidia.
 
Ndo ujue kwamba ni usanii mkubwa sana, wanawafanya Watanzania mandondocha ndo maana wanawachezea kitoto namna hii, huu mchezo ulipangwa na Dewji, Zito Kabwe, Lema, chadema & Co.
 
Ndo ujue kwamba ni usanii mkubwa sana, wanawafanya Watanzania mandondocha ndo maana wanawachezea kitoto namna hii, huu mchezo ulipangwa na Dewji, Zito Kabwe, Lema, chadema & Co.
Mzee wa buku saba upo. Chekundu ni chekundi hakiwezi badilishwa.Dunia umeona.bushman is always bushman never change
 
Back
Top Bottom