Nigwisai Lelo Na WanaSongea Boys a.k.a Box 2

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,867
8,278
Haa mnakumbuka ule mtindo wa wanawake wa ulokoni ukimtaka na akikubali atakwambia bwana we NIGWISAI LELO yaani bwana we niangushe basi lol ilikuwa kazi kweli kweli kwa vidume wa box 2 hasa kwawapo kwenye guest bubu(shamba la ndizi la pale TTc Matogoro),pia ile ngoma ya kitoto(?) pale waimbaji wakiimba MAMA KADODA ANALIA NA MSUKUMANO, si ajabu ndugu zetu Wangoni ukimpa hela itafika lakini si mkeo,
Nilikuwa just Nakumbuka Songea boys ya enzi hizo za kwa mzee Toinyo
 
nakumbuka hata ule wimbo wa zaina zaina zaina mtoti, mtoto wa kingoni , nipe rahaa! tukiimba wakati wa mchaka mchaka kuelekea junction! wangoni wanasema " penyewe hapo uninishikashika utaniwowa? Unakumbuka maneno kama nganga?
 
Nyie acheni ujinga wenu wa Bombambili hapa JF. Tunataka mawazo pevu hapa.

We haya ndo mawazo pevu hapa?
Ila palikuwa na ukame ajabu pale mahala kuna mwaka walijaribu kuwaleta wasichana ili iwe mchanganyiko na wote walipata mimba ndani ya miezi 6!
 
nakumbuka hata ule wimbo wa zaina zaina zaina mtoti, mtoto wa kingoni , nipe rahaa! tukiimba wakati wa mchaka mchaka kuelekea junction! wangoni wanasema " penyewe hapo uninishikashika utaniwowa? Unakumbuka maneno kama nganga?

Mimi ni mbox2 mzuri tu lakini simba aw Zaina kwa for the first time nimekuwa KJ 841 Mafinga chini wa muimbishaji mash uhuru aw Danger Coy Operation Vyama Vingi C Mariba ambaye kwa sasa ni Kamanda wa PCCB Mwanza
 
mkuu umenifanya nikumbuke mbali sana enzi za kina binti bulu, mayao, pora, ulokoni,milango tisaa ha ha ha
 
Daaah mikarapati na makoroboi uwanja wa mpira...kwenda kula maembe mletelee kule milimani ila funga kazi ni kuchunga,zamu ya mashineni,bustani na kupasua kuni ilikua shidaaaa hasa ukiwa umepuliza au ume-hang
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…