Charles kiwesi
Member
- Jan 17, 2013
- 37
- 4
Serikali YA CCM inapaswa kujua na kutambua kua uhai wa mtanzania mmoja una thamani zaidi ya trillion za gesi huko Mtwara hivyo basi inatakiwa kwanza kulinda uhai wa watanzania na sio kuthamini gesi kufika Dar es saalam na kuacha uhai wa watanzania wa Mtwara ukipotea. Huu kwangu night ukatili wa wazi unaofanywa na serikali hii ya CCM inaoongozwa na JK Raisi ambaye watanzania walimuamini zaidi kua angewapa maisha bora kama ambavyo aliwaahidi awali. Muda bado upo Kwa serikali ya CCM kufuta madhambi yao waliyoyatenda Kwa taifa hili lakini kama hawatautumia Muda huu kufanya kitubio nina uhakika Kwa asilimia 100% kua wataujutia sana muda huu siku chache zijazo.