Nigerian Army is very weak and ineffective

Here comes another b#ll H*t conspiracy lover.Huu upuuzi mlikuwa mkitumia kwa osama ..mkileta maelezo kibao ya kijinga mkidhani mnaokoa dini,mkidhani mnapotosha watu ili wadhani Boko haramu hawapigani kwa minajili ya dini.
 
Nimeona kwenye blog moja ya Nigeria kuwa wanajeshi wao wana kama kamgomo fulani kwani wanauwawa kama kuku...Boko Haram wana silaa zilizo more advanced kuliko wanajeshi...

Kuna incidence wameonyesha wanajeshi wanapiga risasi juu kwa hasira baada ya wenzao kuuawa na Boko Haramu....wananasema hata allowance hawapewi; yani ile nchi imelaaniwa kwa rushwa....mkuu wa majeshi pesa anatia ndani maana wanasema budget ua jeshi lao ni kuuuubwaa mno; lakini ela inaenda wapi hakuna anayejua....

Watu wamekasirika wanauliza huyu mkuu wa majeshi anataka wanajeshi wawakamamte Boko Haramu kwa mikono?????

Aibu maana Boko haram ni tofauti na magaidi wengine; hawajifichi wanavamia kwa magari na piki piki....jeshi halina silaha....corruption ni mdudu mbaya saaaana
 
Jana jumatano wajeshi wa naijeria walioko maiduguri kuwasaka boko waliasi kwa mda baada ya maiti za wanajeshi wenzao wanne kupatikana baada ya kufanyiwa ambushi na boko.
 
Jana jumatano wajeshi wa naijeria walioko maiduguri kuwasaka boko waliasi kwa mda baada ya maiti za wanajeshi wenzao wanne kupatikana baada ya kufanyiwa ambushi na boko.
Wanayo kazi..ila boko haramu lazima wawe katk nafsi nzuri kwani..Nigeria imekuwa ikiongozwa na wanajeshi wa kiislam kutoka north ktk kipindi cha udictator..km hawampendi Jonathani...halafu wana boko haramu kutoka North upande mwingine ..ni wazi huu ujinga utausikia sana.Hawa wapuuzi wanaona kuwaua wenzao si vizuri...na si kuogopa kifo,sijui kukosa hela.Kwa mwanajeshi kufa mwenzie ni kuongeza hasira ya kupigana zaidi,hela wakati unakwenda pigana what if unakufa ukiwa na hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…