It was the biggest mistake Nigerians made to have voted Buhari to power
Nigerians are sick and pained. They are hungry. The greatest mistake they made was to think that a man who had stayed out of governance for so long can come and change things. He made all promises yet we see that nothing serious has been done.
View attachment 380881
Uongo bwana, mwaka huu tu ndio Afrika ya kusini imerejea tena kuongoza kiuchumi kwa nchi za Afrika ,nafasi ambayo kwa takribani miaka miwili ilikuwa ikishikiliwa na Nigeria,It was the biggest mistake Nigerians made to have voted Buhari to power
Nigerians are sick and pained. They are hungry. The greatest mistake they made was to think that a man who had stayed out of governance for so long can come and change things. He made all promises yet we see that nothing serious has been done.
View attachment 380881
Kama investors ni mafisadi bora vita vipiganwe tu!!Huwezi anzisha vita na investors halafu nchi ipate neema
haijawahi tokea popote duniani
Ikitokea Tanzania ndio itakuwa 'first time'
tusubiri tuone
Na kwa awamu hiiWamagharibi wameanza propaganda zao chafu dhidi ya viongozi waafrika ambao wamebana makampuni yao yaliyokuwa yanachota rasilimali za afrika usiku na mchana.
Hata hapa kwetu Tz wataanza muda sio mrefu kuchafua hali ya hewa.
Nimeona taarifa ya habari saa2 ITV usiku huu Rais Bukhari akikiri Nigeria imekua MASKINI GHAFLAIt was the biggest mistake Nigerians made to have voted Buhari to power
Nigerians are sick and pained. They are hungry. The greatest mistake they made was to think that a man who had stayed out of governance for so long can come and change things. He made all promises yet we see that nothing serious has been done.
View attachment 380881
Ukitaka kula lazima uliwe sasa ngoja tushikwe njaa ndo tutaliwa vizur bila ubishi mana mwili utakua umelegea kwa njaaKama investors ni mafisadi bora vita vipiganwe tu!!
Lakini hao wanaijeria "wanaojuta" kumchagua Buhari walionyeshwa ITV?Nimeona taarifa ya habari saa2 ITV usiku huu Rais Bukhari akikiri Nigeria imekua MASKINI GHAFLA