Nigeria na DR Congo ni nchi ipi ina produce good artists

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kati ya DRC na Nigeria ni nchi ipi ina produce wasanii wazuri
Kuanzia kwenye Good music
Good dancing
Good parfomance on show
Hawa ni baadhi ya wasanii maarifu katika nchi zote mbili
wizkid ( subscriber YouTube 2,89 milioni)
Rema ( subscriber YouTube 3,72 milioni)
Davido ( subscriber YouTube 3,63 milioni )
Burna boy (subscriber youtube 4,30 milioni
Kiz daniel ( subscriber YouTube 2,60 milioni)
Pis quere ( subscriber YouTube 2,35 milioni )

DR Congo
Maitre gims ( subscriber YouTube 11, 20 millions)
Dadju ( subscriber YouTube 6,68 milioni)
Niska ( subscriber YouTube 5,92 million)
Kalash criminal ( subscriber 1 , 22 milioni
Fally ipupa ( subscriber 3,77 milioni )
Kofi olomide ( subscriber 1,37 milioni)
Innos’b
( subscriber YouTube 1,10 milioni)
 
Kama unazungumzia Muziki haswa unaostahili kuitwa Muziki basi upo Congo, tangu enzi ikiitwa Zaire

Hawa Wanigeria, Wasouth Africa na Wabongo wa sasa wanabebwa na Instrumentals na vyombo vya kisasa vinavyofanya kila kitu kwa kutumia umeme...hawajali kabisa Tones, Voice variations au Ujumbe, wala hata aina za sauti

Sasa kwa mfano ni Mwanamuziki gani wa kizazi cha leo ataimba kwa sauti na upigaji gitaa na vyombo vya Sauti kama Franco Luambo Makiadi na bendi yake? Au Jean Makiese/Madilu System, au Mbilia Bel (Kwa kuwataja wachache tu)

Jaribu kusikiliza wimbo wa "Mamou" " Ya Jean" " Nakei Nairobi" halafu rudia mara 10 bado utatamani kusikiliza

Hii ni sawa na kusikiliza nyimbo za zamani za kisabato au KKKT Arusha mjini miaka ya 80-90 ulinganishe na kwaya za sasa za Amopiano

luambo makiadi ana mengi ya kusema
 
Kwa sisi Wazee wa zamani! Yaani Wazee wa kizazi cha muziki wa Rhumba, Soukouss, Bolingo, nk!!, jibu litakuwa ni jepesi tu! Usiifananishe DRC Congo (Zaire) na huo uchafu unaoitwa Nigeria.

Ila kwa vijana wa kizazi cha sasa, nadhani jibu linaweza kuwa tofauti kabisa na hilo la kwangu.
 
Kati ya DRC na Nigeria ni nchi ipi ina produce wasanii wazuri
Kuanzia kwenye Good music
Good dancing
Good parfomance on show
Hawa ni baadhi ya wasanii maarifu katika nchi zote mbili
wizkid ( subscriber YouTube 2,89 milioni)
Rema ( subscriber YouTube 3,72 milioni)
Davido ( subscriber YouTube 3,63 milioni )
Burna boy (subscriber youtube 4,30 milioni
Kiz daniel ( subscriber YouTube 2,60 milioni)
Pis quere ( subscriber YouTube 2,35 milioni )

DR Congo
Maitre gims ( subscriber YouTube 11, 20 millions)
Dadju ( subscriber YouTube 6,68 milioni)
Niska ( subscriber YouTube 5,92 million)
Kalash criminal ( subscriber 1 , 22 milioni
Fally ipupa ( subscriber 3,77 milioni )
Kofi olomide ( subscriber 1,37 milioni)
Innos’b
( subscriber YouTube 1,10 milioni)

Ipe Congo hesima yake. Isilinganishwe na ncho yoyote africa na kwa dunia ni nchi chache sana za kulinganisha na congo. Mcongo ana kila kitu kwenye mziki
 
Kwa sisi Wazee wa zamani! Yaani Wazee wa kizazi cha muziki wa Rhumba, Soukouss, Bolingo, nk!!, jibu litakuwa ni jepesi tu! Usiifananishe DRC Congo (Zaire) na huo uchafu unaoitwa Nigeria.

Ila kwa vijana wa kizazi cha sasa, nadhani jibu linaweza kuwa tofauti kabisa na hilo la kwangu.
Hakika Mhenga
 
Congo wana muziki wao.. nigeria kivyao si vema kuwalinganisha.
Wizkid na nduguze hawawezi kufanya muziki wa kina fally.

Kwenye soko, wakongo walitawala muda mrefu, enzi wakongo wanatamba, wanaijeria tunawajua kwenye AKI NA UKWA tu, ikaja zamu ya wanaija,
 
Back
Top Bottom