mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Governor David Umahi wa jimbo la Ebonyi Kabika marufuku Vinywaji hivyo kwenye sherehe zote za kiserikali jimboni kwake kwa sababu ni hatari kiafya.
Vilevile Consumer protection Council (Baraza la kulinda watumiaji) linaendelea na uchunguzi kuona kama Vinywaji baridi vyote vinaweza kuwa na madhara yanayosemwa...
Governor alipoingia kwenye mkutano wa kiserikali na akaona meza imejaa vinywaji hivyo ambavyo kwa maelezo yake haviko salama, Aliamuru Vioondolewe mezani mara moja na akapiga marufuku rasmi.
Dunia ina mambo...
Nigerian state bans consumption of coke, fanta, sprite at its events - Premium Times Nigeria