Niger yasitisha rasmi ushirikiano wake na Marekani

Sasa atayala Uranium baada ya kuwafukuza France? Wakae nae meza moja waweke mkataba vizuri then anakuwa mteja wa kudumu.
Sema kwavile hatujui ya nyuma ya pazia, ukute Rais anamfukuza France alafu analeta kampuni yake kufanya hiyo kazi na kuiuzia France tena kwa bei ya chini...Duniani kuna figure sana.
waafrika wengi ni nyumbu , na ukute hat hii michezo wanaifanya wazungu , kama waafrika wangekua wanajitambua wao wangedai huduma.za kijamii na sio kufurahia kufukuzwa kwa USA au Mfaransa , wkt hata hawakuwa wanawazuia kuleta huduma za kijamii
 
Naona wanawachokoza wazee wa fitina na unafiki, ngojea US ni awanyooshe.Juzi hapo Iraq walimwambia atoe majeshi yake,mkuu wa majeshi kawambia hawezi kutoa wanajeshi wake kwani anawasaka IS.

Hapo US anamtoa rais anamweka wake na anarudi tena.Ila siku hizi kwa kifupi US washamchoka, juzi Malaysia alileta hoja kwenye baraza la ulinzi la UN ya kuanza kuidiscuss kura ya Veto,wanataka iondolewe kwani US anaitumia vibaya.
Huyo Malaysia anachangia asilimia ngapi ya bajeti hapo UN?
 
Huyo Malaysia anachangia asilimia ngapi ya bajeti hapo UN?
Kwa sababu ya kuchangia ndio uwe na maamuzi ya kibabe?

UN imeitisha kura mara tatu,kuhusiana na kusitisha mapambano Gaza mara tatu yy anakataa. Karibia 98% ya nchi zote zinataka mapambano ya sitishwe,ina maana hizi nchi matahira?

Ktk hili sakata Gaza US kidiplomasia lime muharibia sana leo kaanza Malaysia kesho atakuja mwengine, kwa kifupi US washaanza kuichoka sababu ya ubabe wake.
 
Ila binadamu tumetofautiana sana wakati Niger wanafunga military base za USA Kenya wanajivunia kuwa nazo na Bado wanaomba ziongezwe zaidi
 
Back
Top Bottom