Siasa zetu ni za nguvu za hoja na siyo kupinduana au kupigana.
Sisi sote ni ndugu. Wanajeshi wanaifanya kazi yao ya ulinzi, wanasiasa wanafanya siasa za hoja (maneno).
Mna vihere here mnatamani machafuko ya wenzenu yawakkute cjui mnaona wao wana enjoy hizo vita..ebu tafuteni ela nchi ina amani umaskin wenu ndio unafanya muone mnaibiwa ila mama yuko vizur mnoo sema upumbav wa kisiasa unawafanya kua mazozo