Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Teteteteh shosti lara 1 bora umerudi nilianza kujisikia mpweke.
ushauri kiboko,kama mtu hakuwahi kuwaza kuwa fisadi itambidi aanze nao ili kutimiza wajibu huo.Mpeleke mkufu wa dhahabu au kadi la gari, hata kama umefanya jikosa gani basi UTASAMEHEWA na halikumbushiwa kamwee. Ukienda na mineno tu ambayo hata kwenye khanga ipo, waweza samehewa ila ndo UTATUMIKIA KIFUNGO BUBU ambacho ukijamba tu KESI INAANZA KUSIKILIZWA UPYAAAAAAAA, utaishi kwa kujibana miaka nenda rudi. Ukikosea kijitu tudogo tu, mashtaka yanaanza upyaaaa. FREEDOM IS EXPENSIVE!!!!!!!!!!!!
Bado sijarudi vizuri, ujue bosi kasafiri basi ndo nakaimu (Kuanzia leo simjungi tena mkuu, nimekoma, daaaah! Mi nilikuwa najua anazuga zuga kumbe mikazi pale ndo kwao. Ulimi nje!) Afu UVCCM na UWT nazo nakomajeee kushabikia na kutia campeign!!!!!
Mpeleke mkufu wa dhahabu au kadi la gari, hata kama umefanya jikosa gani basi UTASAMEHEWA na halikumbushiwa kamwee. Ukienda na mineno tu ambayo hata kwenye khanga ipo, waweza samehewa ila ndo UTATUMIKIA KIFUNGO BUBU ambacho ukijamba tu KESI INAANZA KUSIKILIZWA UPYAAAAAAAA, utaishi kwa kujibana miaka nenda rudi. Ukikosea kijitu tudogo tu, mashtaka yanaanza upyaaaa. FREEDOM IS EXPENSIVE!!!!!!!!!!!!