Nifanyeje?

Nifanyeje?

kiwawira

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Mwanamke nampenda sana lakini hanitaki ila anapenda kuwa na mimi muda mwingi hata kazi anapenda nimsaidie ananifuata.
 
si ushasema "hakutaki" ama sjaelewa mimi???
 
Kumbe jibu unalo unataka nini tena? yeye anataka umsaidie kazi zake ila hakupendi . . .
 
Mwanamke nampenda sana lakini hanitaki ila anapenda kuwa na mimi muda mwingi hata kazi anapenda nimsaidie ananifuata.

Saa nyingine baadhi ya wadada humpenda mtu baada ya kukaa naye kwa muda mrefu, we endelea kumsaidia kazi zake kama hazichukui muda wako mwingi sana na hazikucost kivile, with time, atakuja kukuona unafaa, na atakupenda, wallah nakwambia!

Baadhi ya dada zetu hawa huwa ni wagumu sana kuwaelewa, maana wakati mwingine they want what they don't want!
 
Na wewe unafanya izo kazi na kashakuambia akupendi itakuwa auna msimamo anakupima kuwa na maamuzi yako siku akikuambia unakataa kama yeye uone kama atakutafuta
 
Back
Top Bottom