Habar za jumapil
Wapendwa samahan Kama nawachosha na maisha yangu binafsi naombeen mnisamehe nimapito tu ambayo ipo siku yatakua historia
Ipo hivi nimefanikisha kuachana na jamaa nimerudi nyumban changamoto iliyopo wakati ananioa nilihamia kwake na vitu vyangu
Kabati la nguo
Kabati la vyombo
Kitanda fut 5 na godoro
Dressing table
Stand ya viatu
Jiko la gesi mtungi mdogo japo halitumiki sababu nilikuta kanunua la plate 2
Saboufa
Tv ile ya chogo
Friji ndogo
Deki
Sofa za watu 2 zipo 2
Pamoja na vyombo vingi
Amekataa kunipa nimeenda kwa mwenyekiti kasema mi sijamfukuza Bado nampenda mke wangu naomba anisamehe
Binafsi sitaki tena
Niende wapi nikapate vitu vyangu??
Mi tulivyonunua pamoja sivitaki namwachia
Tulinunua kiwanja tulijenga msingi vyote namuachia
Mi nataka vile nilivyokuja navyo tu
Kadai kaweka walinzi kila Kona nikirudi siku nikibeba tu wanampigia cm
Nifanyeje jmn wapi naweza saidiwa??
Maana mwenyekiti nikama analeta habari za suluhu