Comment yako ya mwanzo ndo ilionyesha Ni jinsi gani huna akili kichwani mwako! Humu Kuna wataalam wakutosha, tena wengine Ni Ma doctors mabingwa wa matatizo mbalimbali, Members wa JF Ni watu wenye ujuzi tofauti, ndo maana yakawekwa majukwaa ya Afya, Sheria n.k..........kama Rais Na Mawaziri wake hupita humu Una akili ndogo kiasi gani kushindwa kujua humu unaweza kupata ushauri wa ki afya!!! Wewe ni mjinga kwa kujifanya unajua kila kitu! Ungekaa kimya Tu Na kuacha Wataalam wangemshauri mtoa mada Kama baadhi walivyofanya!Pumbav.. can you get serious & correct medical advice here..? Esp. to a killer disease like AIDS..? shenzi kabisa, ndio maana FOREPLAN walikuwa wanawalia hela wapuuzi kama ww kwa kuwapa energetic drinks and tablets, mkidhania umetibiwa kumbe umepewa temporary energy tu..
Janga kubwa kabisa duniani ni kuwa na IQ ndogo..!! This is SOCIAL MEDIA..!! period..!! watu wanaangamia kwa kukosa maarifa..!! unauliza huku magonjwa serious tena kuhusu jinsi ya kutumia dawa zake na ushauri..? huku JF..? ur dead walking..!! baadae utataka utibiwe hapa JF..!!
Acha ujinga, unachongea kichwa viduku ww
Kweli mkuu. Huyu jamaa anaongea pumba tupu yeye kazoea fb kule kuna watoto wenzie. Hajui jf ni zaidi ya UDOMComment yako ya mwanzo ndo ilionyesha Ni jinsi gani huna akili kichwani mwako! Humu Kuna wataalam wakutosha, tena wengine Ni Ma doctors mabingwa wa matatizo mbalimbali, Members wa JF Ni watu wenye ujuzi tofauti, ndo maana yakawekwa majukwaa ya Afya, Sheria n.k..........kama Rais Na Mawaziri wake hupita humu Una akili ndogo kiasi gani kushindwa kujua humu unaweza kupata ushauri wa ki afya!!! Wewe ni mjinga kwa kujifanya unajua kila kitu! Ungekaa kimya Tu Na kuacha Wataalam wangemshauri mtoa mada Kama baadhi walivyofanya!
Amekwambia amesoma sred za kina deception kuwa hakuna ngomaVipimo vinaonyesha ni HIV+ wewe unahisi hana ngoma how comes?
mkuu njoo inbox utapata jibu.Uzuri wenyewe wewe ni mwelewa,hivyo sitakuwa na kazi kubwa kukuelezea.Kuna watu walitumia miaka zaidi ya 7 wameacha na wako safi kiafya,itakuwa huyo wa miaka 5 tu?waache wapiga domo waendelee na ujinga wao maana Huwezi kuwaokoa watu wote,lazima wapo watakaobaki kuukumbatia ujinga,pia fahamu kwamba si lazima kila mtu aelewe elimu hii mpya.Wana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception
Sure mkuu! Watu wengine wanapenda sifa za kijinga! JF imesaidia wengi Sana, Na sote tunaona kila siku, iwe jukwaa la Sheria, Afya n.k........ Sasa mtu anakuja Na kuanika ujinga wake hadharani, hajui kuwa huyo Doctor utayemfata Hospital Na yy Ni member hapa jf... !Kweli mkuu. Huyu jamaa anaongea pumba tupu yeye kazoea fb kule kuna watoto wenzie. Hajui jf ni zaidi ya UDOM
Mimi Naelewa kuwa hizi " drugs" naweza sema ni " A witchcraft embedded in a scientific disguise". Siamini sana katika modern medicine, nafahamu effects zake ni kubwa kuliko ugonjwa naoutibia, japo huko pia zipo dawa za kweli. Wengi wetu tukipata elimu ya kuzuia magonjwa kwa vyakula vinavyotuzunguka, hatutapata magonjwa kirahisi, mimi nina experience hiyo pia, nafahamu namna ya ku zuia ugonjwa kabla haujanizidia, ndo maana tangu 1999 sijaumwa, na ninaishi katika mazingira ambayo magonjwa ni mengi kama maralia, typhoid nk. siri kubwa ipo kwenye life style na vyakula tu. Human body is not weak that way to get diseases.Shida inayotukuta sisi watanzania siku hizi ni kwamba kila mtu ni daktari ana uwezo wa kutibu na hasa kwa magonjwa haya sugu. Tutapotea tukijiona. Pamoja na yote yaliyoongelewa nakushauri. Nenda hospitali ukapate ushauri wa madaktari ndipo uamue kusuka ama kunyoa.
Wana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception
Sijakuelewa mkuu. Kwaiyo akitumia ivyo vitu na dozi ya ARV anaacha au anaendelea nayo?mbona tatizo dogo tu hilo., dozi yake aendelee nayo na lazima ale vizuri na pia muathirika haruhusiwi kutumia maziwa fresh., mtindi anaruhusiwa.
Ili kurudia hali yake ya zaman pliz mpatie mafuta ya habbat soda kijiko kimoja kutwa mara 3 lkn pia waweza tumia unga wake ukachanganya na asali ukala kutwa mara 3., yan hapo waweza tumia vyote kwa pamoja lakini atumie miez mitatu bila kuharibu ratiba.
Tibalishe ingine yan za hapo juu anatumia huku ukimpatia unga wa mlonge., chukua majan ya mlonge anika chumban pliz usianike juan kwan dawalishe ikipigwa na jua virutubisho vinapotea. ukikauka twanga utamwekea ktk chai., na vyakula vingine hasa vya moto.
Ushahidi upo ni habbat soda bonge moja la tiba kuna mtu alipatwa na kansa akatumia miez mitatu na zaid sa hiv ukimuona huwez amini., mama angu alisumbuliwa na moyo anatoka jasho analowa chapaa kama kamwagiwa maji lakin alhamdulillah jasho halipotena na moyo hauckii ukimfanya vibaya.
Ukumbusho tiba za asili haziliwi kwa wk or 2 wks ni lazima ujitoe kwa hali yyt uzile kwa mda mrefu ndo maana wanasemaga miezi 3.
Sijakuelewa mkuu. Kwaiyo akitumia ivyo vitu na dozi ya ARV anaacha au anaendelea nayo?
Sawa mkuu nikuelewa. Kwaiyo tibalishe ikishatosha mwilini unaacha kwapamoja au unaacha kidogo kidogo?me najua huachi mapema kwanza mpk cku zipite pite kdg ili hyo tibalishe itoshe mwilini
Hapa naona uwepo wa ARVs bandia unahusika,kwani hali ikoje kwa nchi za wenzetu zilizoendelea?na wao wanapata haya madhara?Kingine ni masharti ya matumizi ya hizo dawa je yanafuatwa kikamilifu?
Sawa mkuu nikuelewa. Kwaiyo tibalishe ikishatosha mwilini unaacha kwapamoja au unaacha kidogo kidogo?
Sawa mkuu nikuelewa. Kwaiyo tibalishe ikishatosha mwilini unaacha kwapamoja au unaacha kidogo kidogo?
Swala la mwandoa mmoja kua HIV+ na mngne kua HIV negative (discordant couples) linaweza tokea na kuna sababu za kisayansi behind that,so suishangae. Pia kuna cases kadhaa kama hizoWana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception
Swala la mwandoa mmoja kua HIV+ na mngne kua HIV negative (discordant couples) linaweza tokea na kuna sababu za kisayansi behind that,so suishangae. Pia kuna cases kadhaa kama hizo