Sikwepeshi
Senior Member
- Jan 26, 2012
- 162
- 18
.Ni rafiki ila ili kutochanganya maelezo nimetake his position,naelewa sitaficha milele ila nimwambie lini? nitaanzia wapi kumwambia?Hmmm kwanza mkuu pole..ila mwanzo umejimix,mara rafik maelezo wewe..anyway watevr..labda nkulize swali,utamficha hadi lini? Coz pengine,ye ndo wakukuadvice n she'l fight 4u..if she real nids u.
.Ni rafiki ila ili kutochanganya maelezo nimetake his position,naelewa sitaficha milele ila nimwambie lini? nitaanzia wapi kumwambia?
Unasema bahati mbaya" wakati ulimyukuwa bila kinga yoyote! Hujui kuwa lile ni tendo la kutafutia kizazi kipya?
Habarini ndugu wanajf,tatizo hili sio langu ila la rafiki yangu.Nimelileta apa maana naamini ni mahali anapoweza kupata ushauri.Mwaka 2010 mwanzoni kuna binti nilimpa ujauzito,naweza sema ni bahati mbaya sababu sikuwa na mpango wowote wa kumuoa au kuzaa naye,alijifungua mtt wa kike ambaye kwa kweli matunzo ya mtt nayafanya vyema,tangu hapo niliacha mahusiano ya kimapenzi na huyo binti.Mwisho wa mwaka huo nilimpata mwenzi ambaye moyo wangu umeridhia kuwa naye maishani,nimempeleka kwa wazazi wangu na kwao nimeenda pia,wiki 2 zijazo naenda kulipa mahari ili nimuoa.
Asante mkuu,ila nilichonote hali kama hii humkuta mwenzi wangu huyu sana2 nikifanya mawasiliano yeyote khs mtt..ninachohic she is dealing with my 4n although hana mazoea ya kuishika.eebwana sikia kwanza kabisa jaribu kuisoma akili ya mwenzi wako juu ya kwanini analia, au alifanya kosa gani au anajuaje kuwa wewe unakwenda muona mgonjwa. ukipata jibu pa kuanzia ni rahisi sana. juu ya huyu uliyezaa naye asikusumbue kwani wee ulimtia mimba tu na hujawah kuish naye kindoa so hanauwezo wa kukuwekea pingamizi lolote lile ingawa sasa mwanao utamtesa kiaina.
Asante mkuu,ila nilichonote hali kama hii humkuta mwenzi wangu huyu sana2 nikifanya mawasiliano yeyote khs mtt..ninachohic she is dealing with my 4n although hana mazoea ya kuishika.
mwanamke bado anampenda na anaamini ataolewa naye,licha ya kuwa alishamwambia hawez kumuoa,sio muislamu na hampendi kabisa yule mwanamke,walikaa kwenye mahusiano kwa mda mchache sana ila mwenendo wa yule binti haumvutii yeye kumuoa1.Kwanza Mpe Pole
2.Ingekuwa vizur kama ungeeleza yule mwanamke aliyemwacha bado anampenda (mwanamke anampenda huyo rafiki yako/mwanaume)
3.Wape Ongera kwa kutotoa mimba
4.MWAMBIE ARUDISHE UPENDO KWA MWANAMKE WAKE WA KWANZA ila kama ni muislamu sidhani kama ni tatizo kubwa.
5.Mwambie kuwa Ndugu upande wa kike wanahaki ya kulalamika.
Dah kwa kweli umenena mkuu,be blecdSASA jua kwamba she knows, so wewe kuwa mpole wala usisubiri ajifngue manake yeye kukaaa na guldge ndio kutakako muumiza. be a man before anything mkiwa ndani niny wawili just tell her kwa upole, and the truth kisha mwambie msimamo wako juu yake yeye na juu ya huyo mtoto mwingine. kama anakupenda kwa dhat hatalichukulia kama swala baya sana ingawa siyo rahisi kukubali kwa mara ya kwanza. mweleze sababu kubwa ya kutokumwambia mapema ni ulikuwa unahofia kumkosa ila sasa kwakua hukua umejua nafsi yake kwako ila as now you are confident with her thats why you've said it. mwambie very soonkwa utulivu tena umnunulie na zawadi yyte ile na umpatie hiyo zawadi before hujamwambia. kwani zawadi humnunua mtu.
pole sana
Maelezo uliyoyaeleza ni kinyume na huyo best yako dizain kama umejielezea ww mwenyewe hiv?
Siku nyngine usiseme ni rafk yako jikubal mwenyewe kwanza ndo upate ushaur
Usione soo sema naeee.
trust me,huyo mke mtarajiwa atamsamehe tu.issue kama hio ilimkuta sister wangu.mume ana mtot nje,muda mrefu akamficha.mume akawa ana feel guilty,siku akamwambia,ila ilikuwa ugomvi,at the end alimsamehe.huyo rafiki yako,anavyozidi kukaa kimya,ndio anazidi kujichongea.nina wasiwasi huyo mke anajua.ila anasubiri ukweli kutoka kwa mr.ni vizuri amuanzie mbali,amuweke chini,amwambie ukweli.na sio ukweli wa maneno,ajaribu kuwa karibu nae kimapenzi zaidi