KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Kwanini moyo wako hauna upendo....??
Ndio ilivyokua kwenye mahusiano kabla ya huyoo
Mpe Pesa, kisha muongezee nyingine...
Lord. I hate it so much when money defines everything.Mpe Pesa, kisha muongezee nyingine...
Kweli kazi ya moyo ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere chako
habarini wakuu, natumaini mtakuwa salama Mimi Nina mpenzi Wang tuna miezi sita sasa ila mwenzangu unilalamikia sana kwamba sina upendo nae , najitahidi kuonyesha upendo kwake lakini nashindwa, mambo mengi ya Muhimu ananishauri lakini sijali naisi moyo Wang hauna upendo kabisa nifanyaje nipende kama wanaume wengine naisi kama namtesa sana , wengine mnafanyaje wakuu.
Tumia ulimi wako kumsafisha mkubwa na ile ndogo yake hapo utakua umeonyesha mapenzi yoote kama vijana wenzako Mkuu