Nifanyeje iliniweze ku-install software ya JF?

MWILI NYUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
817
Reaction score
256
Natumia mini Tablet ya Samsung Galaxy tab 2 GT-P3100 ile ambayo WLAN + Celullar, Nimejaribu mara kadhaa kuistall JF inanikatalia. Imekuwa inani-direct Google play store lakini nimeangalia kwenye devices zinazo support goolge play store naona hii ya kwangu haijawa mentioned. Je kuna namna yeyote naweza fanya? Os yake ni Android.
 
Mbona mie tab 2 GT-P3100 yangu JF inafanya kazi?,Jaribu tena kufanya installation mkuu,pia mara nyingi ukiingia JF kwa any android powered phone/tab uwa optional ya kuinstall hiyo JF app inapop up automatic,je wewe afanyi hivyo?
Pia check kwenye security section ya tab 2 GT-P3100 yako kama inakuruhusu kufanya app installation
 


Mkuu nimejaribu mara kibao lakini nikishaifungua ile software ya JF kwenye google play store nikibofya pale install inanigomea.Kama hautajali naomba unielekeze hatua za kufuata moja baada ya nyingine samahani lakini mkuu kwa usumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…